Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Home nalizia 88
1565281558299.jpeg
 
Ungetoa location angalau tulete matunda mkuu, tuendeleze umoja wetu kwa watakao kua karibu.

😂😂 Hospital ya hovyo kuwah tokea..! kakola mkuu..! eti toka yamenilaza had sasa hakuna nes alokuja..wala waniletee hata msos hakuna..wala maji..najitetemekea tu hapa..nawaangalia tu nawasubiri kwenye bili😏😏!
 
Dah pole sana boss wangu kama utaona hali sio nzuri fanya uje bugando hosptal uku nitakupokea mimi na nadhani utapata huduma ipasavyo bila usumbufu, japo najua ni mbali toka uliko uko,, unitaharifu tuu mda wowote kama utakua na uhitaji huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom