Kuwore kindo ngileterewa meku, Ruwa chu nyi mnene meku.
Hahaaaa. Haya bana mkuu.Watu wanatekeleza itikadi ya Magufuli Kuisoma namba, anahesabu 'hamsini, hamsini, Mia *2'
ahahahaaaaa
Cc. Emmyta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumkumbusha kistarabu kwa kukata shingo huko. Mmh. Hapana aiseeHzo zitakuwa ni hasira sasa sio vizuri unatakiwa umkumbushe tu kistaarabu
Kweli bibie we jaribu kuangalia macho yake yanaview eneo gani la huyo binti![]()

Hahahaha anaona kwel.
Ha ha ha hatari sana!Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Jaribu alfu unitumie PMNitajaribu usijali mkuu.
Hua tunaangalia tu haimaanishi kua hua huna thaman mbele ya nimuangaliayeNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
ndo maanakwenye imani yetu tuka lazimishwa kutazama chini/kushusha macho, yaani sie wanaume katika factor za kuona na kuangalia ni zaidi ya kutumia gamma rays. yaani tunauwezo wa ku sense mpaka temperature ya sehemu husika, tena kwenye 4th dimension.