Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,084
- 122,429
Nj ngumu emmyta kwamba mtu uache kuangalia neema za allahKawaida wapi wakati mmezidi.![]()
![]()
Basi punguzeni hata kidogo.Nj ngumu emmyta kwamba mtu uache kuangalia neema za allah

We huoni kila anayeangalia anatabasam kuna uhuweni kidogo unakasikia mwiliniKawaida wapi wakati mmezidi.![]()
![]()
Kuleterewa ki?Hahaha kwa mwenye macho mazuri atakua ameona matangazo matatu
wani na ww ukipita si wapo wanayoyasoma matangazo vilevileSie tunaumia roho lakini ujue pacha.
Saa nyingine hadi hamu ya kufuatana na nyie inapotea mana kila mnapopishana na mizigo lazima shingo igeuke.
Ile inatokeaga tu unajikuta ushatupia machoBasi punguzeni hata kidogo.![]()
Upande wa pili sie wengine tunasononeka. LolWe huoni kila anayeangalia anatabasam kuna uhuweni kidogo unakasikia mwilini
Hata hakuna mkuu mana sina kilichotokeza.k
wani na ww ukipita si wapo wanayoyasoma matangazo vilevile
Itabidi mzoee au nawe umzibe macho au umkabe jamaa asiangalieUpande wa pili sie wengine tunasononeka. Lol
Punguza Mkuu Mshipa hiyo kutokea isitokee lol.Ile inatokeaga tu unajikuta ushatupia macho
Hahaha nimepata mbinu mpya ya shingo feni kwa chachi nashukuru kwa kunitoa tongotongoUnakimbia nini swahiba wakati ndio ukweli huo.![]()
![]()
![]()

Mmh. Kwa wanaume wa Kitanzania waweza shangaa unapigwa makofi hadharani.Itabidi mzoee au nawe umzibe macho au umkabe jamaa asiangalie

Mmh. Kwa wanaume wa Kitanzania waweza shangaa unapigwa makofi hadharani.![]()
na kila mtu anashika njia yake mtakutana homeHahaaa. Na wewe unataka uwe wa mwisho kutoa sadaka. Siku ukienda nitonye basi nami nije nikuone swahibaHahaha nimepata mbinu mpya ya shingo feni kwa chachi nashukuru kwa kunitoa tongotongo![]()
![]()