Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,018
- 125,977
Hivyo sie ndio tunafanya dunia iwe sehemu salama. La sivyo kusingetosha eee.Huu ulimwengu msingekuwepo wanawake ungekuta tumeshawehuka kitambo
Haya bana. Ila punguzeni shingo feni bana.
Hivyo sie ndio tunafanya dunia iwe sehemu salama. La sivyo kusingetosha eee.Huu ulimwengu msingekuwepo wanawake ungekuta tumeshawehuka kitambo
Hizo n zama za kale [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]Hahaa. Hamuogopi hata kupewa za uso.
Anachokitafuta yeye anakijua mwenyeweHivi mdogo wangu unaamini anayaona kweli yale maandishi. [emoji23]
Si ndio mimi sasa nipo katika wale watu adimu mkuu.Haiwezi kuwa sikuizi viumbe wasio na chura adimu sana
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaa. Matangazo yapi mkuu?
Naomba picha Tafadhali sana nione kwa macho ya nyama maana macho ya hisia yamegomaSi ndio mimi sasa nipo katika wale watu adimu mkuu.
hamsini hamsini = mia. Kaugonjwa kangu kwakweli.Hahaa. Matangazo yapi mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Nawajua tabia yenu mkuu huwa wenye mizigo ndio mnawapa kipaumbele.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona tunaangaliga wote wote sema umakini unakua zaidi kwa wenye zigo sababu hata wawe safi bado kuingia Mbinguni bado itakua shida[emoji2]
Hahaaa. Hongereni kwa kufarijika. Ila sio vizuri bana.Hamjui tu thamani yenu kwetu mnatufarijigi sana wakati mwingine bila hata kujua
Hizo n zama za kale [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG]
Siku hz kufuata tunafuata sisi ila kuogopa mnaogopa nyie, utafikiri ndio mnapiga mistari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anachokitafuta yeye anakijua mwenyewe
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Naaam...Hahaaa. Nimejaliwa kidogo mkuu sio sana. [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata niwe wapi huwa siachi kusafisha macho... hatakama ni kwenye kikao
Tubu tu master.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Daaaah, haya bana! Nilikuwa kwenye maombi siku nzima ya leo ila ndio hvyo tena ushaniharibia siku mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasahau sergio mi si nishawahi kwambia sina mzuka na kupiga picha hivyo hata sina.Naomba picha Tafadhali sana nione kwa macho ya nyama maana macho ya hisia yamegoma