Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,078
- 126,186
Pole sana ikawaje sasa. Ukawa unamficha ficha ama uliacha tu wenzako nao wasome tangazo.Yaani ukishasema Mizigo tu hapo hapo pigia mstari,Hata mm nilikuwa natembe a na Zigo sasa Barabarani kila M2 lazima ageuke Japo nilikuwa mwanaume Wake lkn nilikuwa najikaza 2.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app