babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Tatzo wadada wanakusud,unakuta MTU ana bonge la mkia AF anavaa hovyo ASA ile kugeuka ni unconditional rxn jamanNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Sent using Jamii Forums mobile app


