Macho ya Wanaume

Macho ya Wanaume

Heee. Hivyo kigeuza shingo ni kama kupiga chafya.

Nawagawa aisee. [emoji2] [emoji2]
834b873fb25a3e150b8a7a898d35281d.jpg
Jamaa hapa ndo ameniacha hoi...yaan huyu dada alivyopindisha shingo ni kama anamwambia jamaa 'jaman we mkaka mbona unanifanyia hvyo'
 
Ila wazungu wana mioyo yao. Mi wala nisinge endelea kumshika. Ningechapa zangu lapa.
Hahaha sema hujaona full picture huyo binti ana bonge la kidonda karibu na kisigino ndo jamaa alikua anashangaa hicho kidonda,[emoji85] [emoji125]
 
Back
Top Bottom