Macho ya Wanaume

Macho ya Wanaume

Nawajua tabia yenu mkuu huwa wenye mizigo ndio mnawapa kipaumbele. Ila miaka ya sasa wenye mizigo walivyojaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kama kazi yako itakuwa kusoma matangazo ujue ukifika nyumbani shingo inauma. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Saivi wala mimi sipati shida nimeanza kutembea na kioo changu cha kufanyia tathmini na kama akiwa mbele yangu kasimu lazima kahusike kwa matumizi ya badae[emoji85] Ashukuriwe aliyeumba na aliyeleta Smartphone[emoji125]
 
Hivyo hugeuzi shingo mara kwa mara. Hongera kwa ubunifu mkuu.

Ila kazi mnayo aisee.
 
Daaaah! eti mpk kwenye kikao [emoji2][emoji2][emoji2]

Mm nikiwaga na yf najifanya kama nainama kutafuta kitu hivi, namalizia huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue mnanichekesha aisee. Kila mbinu mnazo ilimradi mtimize adhma yenu.

Hamfai hata kidogo kwa kweli. Ngoja siku akushtukie huo mnuno wake hutarudia tena mkuu.
 
Hivyo hugeuzi shingo mara kwa mara. Hongera kwa ubunifu mkuu.

Ila kazi mnayo aisee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo ivyo mbona nyie mkianza kutamani fashion za nguo na Peruvian hair sie tunakausha tu, sisi tukishasafisha macho ndo imetoka ivyo.[emoji12]
 
Back
Top Bottom