BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hahahahaha lol!sasa unachukia nini Emmy? Mwenyezi Mungu kaumba neema zake na macho ya kushangaa uumbaji wake. Mungu hakukosea kuumba vyote hivyo na sisi wanaume ni lazima tushangae pale Mungu alipoamua kuumba neema. Kuna rafiki yangu mmoja yeye ana kona yake maalum ya kwenda kukaa kuangalia mawowowo na anaweza kukaa hapo baada ya kazi masaa hata mawili anaangalia neema za Muumba wetu! Acha kabisa Emmy sasa kule Coco beach saa za jioni hasa siku za weekend na wenye kuja kuogelea. Wanaume ndivyo tulivyo! Iko kwenye damu hii 🙂🙂🙂
Nachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.