Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Hao uliowataja hapo mleta sio matajiri, matajiri huku mwanza ni wafuatao

Baraka
Mzee shinyanga
Njiwa pori
Yangaa
Lugumi
Bashite
Gwajima
Kishimba
Boss ngasa
Anco magu
Makoye mino
Super sami
Batico
Ncheye

Huyo gachuma hana hela yeyote ile ila yeye ni mwenyekiti wa coca bas, huyo kitana amepewa jukumu la kuangalia meli za watu ambao ni vigogo selikalin kama mkono na liz one
 
Makoye meno yes ....ncheye ndo mwenye mashule??

Sio shule tu had mabas anayo na gali lake lina plate number ya jina lake la ncheye
Nayemfahamu mie anashule nyantunduru sekondari,rich rice na chuo cha ualimu..tena jina kamil kama sikosei richard ncheyele
 
Mnaojadili mambo/ maisha ya Matajiri, naomba mjiulize Mungu akitoa Amri maskini wote mpange foleni je wewe utasimama umbali gani na mkeo au familia yako? Mimi ninavyo wafahamu wengine humu watakuwa mbali kiasi kwamba hata akipiga simu Network haitapatikana yaani mwisho wa Dunia. N:B. Jiulize kwanza wewe una pesa/mali gani? ndo ujadili wengine.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mshukuru Mungu kwa kila hali,hao wanaotajwa hapa,aidha mmoja analala na maiti,amemtoa kafara baba au mama,anafuga joka kubwa au analala na binti yake
Endelea kubaki na iman potofu hizo hivyo hivyo
 
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.

Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.

Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.

Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.

Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana

Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.

1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality

6.......
7.......

cc.fisadikuu
Mwanza Ni kuzuri lakini sio kusafi
 
Huwezi kuwataja Matajiri wa Mwanza Usimtaje Gupta Nadhani anaweza kuwa kwenye top 3
Halafu kuna wenye nacho sio matajiri kwa mfano Vunja bei , Maduhu,Kayonza,Njiwa pori (Mali sio Yake ni Ngeleja), Songoro marine(huyu kaajiriwa na bakhressa sasa hivi)Zongii ilikuwa pesa ya family aliuza nyumba yao Kenya wamembana kalipa
Diallo , Matata (Manengero mdogo )mustapha washafilisika,kuna wahidi wale kina Unadkat wauza vitenge hao ni tishio,WAJA Genaeral yuko vizuri Familia Laximidas, Familia ya Hasham Jamal (Furniture center)Famila ya Karmali(Lake Soap )Vrajilal (Transport) wote ni Industries Tycon ila wengi mnaondika kuhusu matajiri wa Mwanza ni Wageni Hamuawajui matajiri wa asili wa mji huu.
Kwa mfano kwa sasa hivi kuna familia za wakurya wanapesa za kutisha ila uwekezaji ni zero kuna wasukuma waliovamia mji kwa kasi kutokana na biashara ya madini ila na wao uwekezaji zero ila ukiambiwa habari zao za cashi wanayomiliki utakimbia.Baraka hayuko poa kama hapo awali kutokana na issue za biashara za marudio(Makinikia)kuwa Adimu na Kukwama kwa project yake ya Ishokehela(ipo mahakamani)
 
Kama hii habari ni kweli basi haishangazi kusikia kwamba baadae alikuja kufilisika. Japo wakati mwingine waswahili tunapenda kutia chumvi kwenye mambo mbalimbali.
Paul Ng'wani alishafulia mbaya sana, ni jirani yetu pale Ngokolo Shinyanga, nyumba aliyokua anaishi alipangisha kwa Oxfam na yeye kwenda kupanga huko Mwadui Mpya au Mageuzi kwa wenyeji wa shinyanga mtakua mnajua haya maeneno
 
Kafa lini huyu mzee mbona sina taarifa zake... wakati kwake Ngokolo na home kwetu, tunatenganishwa na ukuta wa kanisa la Romac Catholic tu, sisi home ni pale karibu n Bugoyi Primary school
Aiseee kumbe jirani kabisa, sina taarifa sahihi mimi pia niliona ktk group la watsap
 
manengelo
alifariki siku nyingi huyo mzee alikuwana watoto kijiji ikabidi ajenge ghorofo siku hizi imekuwa bar inaitwa victoria prince,vick fish yupo je unamkumbuka geji mwanzilishi wa vivuko pale kamanga??
Manengelo yupo aliyefariki ni mtoto wake Mohammed mmiliki wa Basuco aliwahi kumiliki timu ya mpira
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.

Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.

Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.

Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.

Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana

Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.

1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality

6.......
7.......

cc.fisadikuu

Ulichunguza kama wanalipa kodi inavyostahili?
 
Back
Top Bottom