FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 328
Kuna jamaa pale Uwanja wa CCM kirumba ana club toka ifunguliwe haijawahi kufungwa kaunta yake watu wanakunywa kama wanapewa bure
Lakini mbona nilimuona mama yako mzazi akitiwa ndani ya teksi na kukimbizwa Bugando,kwahiyo unataka kusema kuwa hakuumia hata kidogo.Mtu mzima dawa. Bahat nzur gari nilikwepa akagongwa mamako.
Wala hakuuumia alifurahia ajal hileLakini mbona nilimuona mama yako mzazi akitiwa ndani ya teksi na kukimbizwa Bugando,kwahiyo unataka kusema kuwa hakuumia hata kidogo.
Aisee pole sana kwa kunusurika kugongwa.Wala hakuuumia alifurahia ajal hile
Manake mgongaji alikuwa boya akaminya. Break mapemA
Ila kwa Baraka kweli acheni utani,huyo jamaa ana hela mbaya na huyu anaweza ongoza Mwanza yote hata na Kanda ya ziwa na kwa Dar ni matajiri wachache sana wanaomzidi ila kwe kodi ndo sijui kama analipa.Baraka ana hela mpaka anaumwa.
kwahiyo matajiri wa dar wachache sana ndio wanaomzidi?Ila kwa Baraka kweli acheni utani,huyo jamaa ana hela mbaya na huyu anaweza ongoza Mwanza yote hata na Kanda ya ziwa na kwa Dar ni matajiri wachache sana wanaomzidi ila kwe kodi ndo sijui kama analipa.
Hizo 700bn za Bakhresa ni mtaji(working capital) au ni total assets?
Angalia wanavyomiliki,na sio unaquote tu, hawa jamaa wamewekeza sana .. kwenye majiWe mdau siyo makin hata kidogo hyo peugon hotel ndo inakuchanganya????
Kuna vitu ata siyo vya kushangaaa kiwanda cha gypsum nacho ni kiwanda.Kuna Jamaa Anaitwa Liiii Anamiliki Kiwanda Cha Gypsum
Kuna Jamaa Anaitwa Liiii Anamiliki Kiwanda Cha Gypsum
Zungumza zonghiii ntakuelewaKuna Jamaa Anaitwa Liiii Anamiliki Kiwanda Cha Gypsum
hahaha Wewe Hibiscus Interior Nimekutunuku Nishani Ya Ubishi ... Jamaa Ana Miradi Mikubwa Karibia Kila Mkoa Halafu Kiwanda Chake Hakijulikani Serikalini ... Anasambaza Gypsum Tz Nzima ... Acha Niishie Hapa Asije Akatumbuliwa Na Wazee Wa TRA ...Kuna vitu ata siyo vya kushangaaa kiwanda cha gypsum nacho ni kiwanda.
Nasikia ni kijana tu, vipi kishimba?Baraka ana hela mpaka anaumwa.
unauhakika mkuu aliyefiriki si nduguye alikuwa shireku kipindi hichooHuyu ni wa Shinyanga, afu ni marehemu kwa sasa,may he rest in peace
Nasikia alikua na utajiri wa kishirikina flani hivi sa sijui kweli
Yeah,kwa matajiri wenye asili ya Tanzania ni wachache sana wanaomzidi,usichanganye wale waarabu na wahindi hao nadhani hatuwaongelei hapa........huyo jamaa anamiliki migodi mingi sana kanda ya ziwa,kati na hata kusini kwa sasa na bado pia ananunua dhahabu kwa wingi tu!!!kwahiyo matajiri wa dar wachache sana ndio wanaomzidi?
Hahha kumbe ulikua mchezoo ule,dahhWatu walikuwa wanapiga hela SHIRECU kiroho safi halafu wanatengeza myth ili wasishtukiwe!Ni sawa na hawa wauza unga watakudanganya free mason ili wasichunguzwe
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nilisikia kipindi flani,sina uhakika, kwani ni nduguye au ni yeye paulo ng'hwani ndo alikua shirecuunauhakika mkuu aliyefiriki si nduguye alikuwa shireku kipindi hichoo
Mshukuru Mungu kwa kila hali,hao wanaotajwa hapa,aidha mmoja analala na maiti,amemtoa kafara baba au mama,anafuga joka kubwa au analala na binti yakeSiye wengine sijui hata tunakosea wapi mpaka haupo kwenye hizi orodha ilihali wote tulizaliwa uchi!