Mabilionea wa Mwanza respect and silence

ukichukua matajiri wote wa mwanza wakajumlisha mali zao kwa pamoja na wapate jumla ya utajiri wao... wakija dar wakapambanishwa na tajiri mmoja tu mfano home shopping centre tu wanafyata mikia wote
Mkuu Acha Masihara Matajiri Wa Mwanza Hawapendi Kuuza Sura
 
sio kuuza sura...unamjua home shopping centre au unamsikia.. kwanza google gsm transport, gsm pugu malls, gsm masasani malls, mkuki malls, gsm cement, gsm boda boda, silent ocean, amana bank, gsm media, gsm travels, alosco tower, alosco holdings, gsm baby shop, home shopping centre nowdays discount centre, gsm trucks, gsm tower... Mobile plaza tower mpya kariakoo inayptishia watu mitandaoni inavyowaka

kisha mtafute tajiri wa kanda ya ziwa hata mia moja waungane waone balaa lake...

huku dar watu wanaumiza vichwa serikali nzima wanaiba hadi tra wanaogopa.. wanawekeza kila sehem. mtu.anamsifia mtu mwanza kwa kuweka fedha bank wakati dar home shopping tu wanamiliki amana bank na ni part ndogo tu ya uwekezaji wao.. wana hela hadi wanaogopesha serikali

Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.

Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.

Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.

Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.

Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana

Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.

1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality

6.......
7.......

cc.fisadikuu
8. Hibiscus interior
 
MANENGERO BADO YUPO?

SAMWEL NYALLA

KUNA MMOJA MIE SIMTAJI ILA NI NOMA JAMAA MAFIA SANA KULE ZIWA VICTORIA ANA ENEO LAKE LA UVUVI HAKUNA MTU MWINGINE KUVUA OLE WAKE AKUKUTE SASA HUKO NDIO ILE STORY YA KUKATWA KAOSHI, KAPTURA ILIANZIAA HUKO

LEMA WA CAPRIPOINT JE BADO YUPO? ANA MTOTO WAKE MZURI SANA ANAITWA NANCY

VICKFISH
 
manengelo
alifariki siku nyingi huyo mzee alikuwana watoto kijiji ikabidi ajenge ghorofo siku hizi imekuwa bar inaitwa victoria prince,vick fish yupo je unamkumbuka geji mwanzilishi wa vivuko pale kamanga??
 
sio kuuza sura...unamjua home shopping centre au unamsikia.. kwanza google gsm transport, gsm pugu malls, gsm masasani malls, mkuki malls, gsm cement, gsm boda boda, silent ocean, amana bank, gsm media, gsm travels, alosco tower, alosco holdings, gsm baby shop, home shopping centre nowdays discount centre, gsm trucks, gsm tower... Mobile plaza tower mpya kariakoo inayptishia watu mitandaoni inavyowaka

kisha mtafute tajiri wa kanda ya ziwa hata mia moja waungane waone balaa lake...

huku dar watu wanaumiza vichwa serikali nzima wanaiba hadi tra wanaogopa.. wanawekeza kila sehem. mtu.anamsifia mtu mwanza kwa kuweka fedha bank wakati dar home shopping tu wanamiliki amana bank na ni part ndogo tu ya uwekezaji wao.. wana hela hadi wanaogopesha serikali
Kawaida ya Dar wenye pesa huko ni wahindi na waarabu.. Ngozi nyeusi kazi yenu kuwatumikia hao wahindi... Kwakifupi ulitaja matajiri 10 dar 8 ni weupe na 2 tu ndio weusi.. Ngozi nyeusi dar wengi ni makapuku tu
 
Back
Top Bottom