Cioo zonghii huyoooHivi huyu jamaa nimekutana nae junk mdogo anaendesha hizi land rover sometimes hummer hua ni nani? Anaonekana kama muha muba hivi, kuna siku tumekutana bank ana mafungu ya hela za 10,000 kama sio bilioni basi zaidi..maana zilikua rambo kubwa kama 5 hivi zimejaa jamaa mdgo sidhani kama amefikisha 30