maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,410
- 6,067
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.
Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu