Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Daaah wabongo bhana hivi mnajua billionea anakuwa na vigezo gani? Kwa hapa tz watu wana pesa za kawaida tu hata sio za kutisha sana nashangaa watu wanamwongelea baraka ni bilionea wa mwanza daah.....
Mkuu Watu Wanashoboka Na Migodi Anayomiliki Baraka Kwanza Migodi Yenyewe Kuna Mkono Wa Vigogo Wa Serikari ...
 
Songoro Marines
MOIL
Euric Air
Ryans Bay Hotel/Fortes Garage & Tours.
Vic Fish
Nyanza Road

Wabantu wengi wanaogopa kusema ukweli, lakini hakuna mbantu mwenye ukwasi kwa Rock City kuwazidi hao uliowataja.
Tatizo Wabantu wengi tunapenda kujisifu sisi wenyewe tu, lakini ukweli utabaki pale pale kuwa utajiri wetu uwa ni wa msimu/kizazi kimoja tu tofauti na wenzetu.
 
Nyanza road ni ya subash patel
 
Kyonza ipo inaendelea, mkewe bado kasimama imara
Yupo tajiri anaitwa Mohamed Sherally...... very silent
Ndo lile duka kubwa sana lipo midland hotel linaitwa sanpharm...mmama mnyakyusa anaishi kaloleni kule nyegezi
 
Back
Top Bottom