Baraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia