Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

sio kuuza sura...unamjua home shopping centre au unamsikia.. kwanza google gsm transport, gsm pugu malls, gsm masasani malls, mkuki malls, gsm cement, gsm boda boda, silent ocean, amana bank, gsm media, gsm travels, alosco tower, alosco holdings, gsm baby shop, home shopping centre nowdays discount centre, gsm trucks, gsm tower... Mobile plaza tower mpya kariakoo inayptishia watu mitandaoni inavyowaka

kisha mtafute tajiri wa kanda ya ziwa hata mia moja waungane waone balaa lake...

huku dar watu wanaumiza vichwa serikali nzima wanaiba hadi tra wanaogopa.. wanawekeza kila sehem. mtu.anamsifia mtu mwanza kwa kuweka fedha bank wakati dar home shopping tu wanamiliki amana bank na ni part ndogo tu ya uwekezaji wao.. wana hela hadi wanaogopesha serikali
Mkuu Matajiri Wengi Wa Dar Kuna Mikono Ya Vigogo Wa Serikali Ndani Yake ... Huku Mwanza Tajiri Anasimama Yeye Kama Yeye Yaani Jeshi La Mtu Mmoja Lisilokuwa Na Muunganiko Wa Mamba Na Kenge ...
 
Kyonza ipo inaendelea, mkewe bado kasimama imara
Yupo tajiri anaitwa Mohamed Sherally...... very silent

Kulikuwa na mmoja nilikuwa namfahamu alikuwa anaitwa Kashaga, huyu alianzia Arusha biashara ya phamacy, baadae akahamia Mwanza akafungua duka kubwa sana la madawa ya binadamu na alikuwa anaingiza kontena zima la dawa anasambaza kwa wafanyabiashara wengine, ila jamaa alipata ajali ya gari na kufariki mwanzoni mwa 2000, alikuwa ana hela safi tu.
 
Paulo ngw'ani nasikia alikuwaga na magari mpaka hajui idadi na kuna wakati eti hela alikuwaga anapima kwenye mzan eti ni nyingi mno kuhesabu
Kama hii habari ni kweli basi haishangazi kusikia kwamba baadae alikuja kufilisika. Japo wakati mwingine waswahili tunapenda kutia chumvi kwenye mambo mbalimbali.
 
Wewe ni KABURU Tu... Na wa kuogopa kama ukoma... Huo ni uchochezi na Ubaguzi na mwendelezo wa Ubinafsi na Umimi... STOP it...
 
Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.

Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.

Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.

Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.

Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana

Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.

1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality

6.......
7.......

cc.fisadikuu

Nashukuru umetambua ya kuwa sisi wasukuma tumestaaribika kulikotukuka siyo ndugu zangu wa Arusha hata mtu akiwa na duka la juice tu, na ikatokea amekufa eti wanamtangaza kuwa bilionea
 
Mwanza kuna wasaka Tonge hakuna matajiri mleta mada.
 
Nashukuru umetambua ya kuwa sisi wasukuma tumestaaribika kulikotukuka siyo ndugu zangu wa Arusha hata mtu akiwa na duka la juice tu, na ikatokea amekufa eti wanamtangaza kuwa bilionea
Arusha ndio Tanzania wewe sio kwamba wanajitangaza mkuu, Arusha na moshi watu wanasaka hela, unafikiri kwa nini serikali inaogopa kuendesha nchi kwa majimbo? Kaskazini ndio ingekuwa makao makuu ya kipato kwa nchi hii., na kuhakikishia mwanamke mmoja wa kaskazini ni wanawake 100 wa pwani katika uwezo wa kukuza uchumi wa familia.
 
Back
Top Bottom