Nitajie bilionea wa hiyo mikoa hata mmojaMwanza imejengwa na Mabilionea Wa Arusha na Kilimanjaro..
Niliwahi kufika nyehungeNyehunge wamiliki wa meli
Said and Ayubu nao wamo katika orodha
Malugu na baraka inaonekana ndo vipembe wa mjiniIla kiboko ya wote hapo Mwanza yupo jamaa mmoja Anaitwa MALUGU.....Huyo kazidi ni Tajiri sana anaheshimika sana....
Kwa mgodi alionao inaonekana jamaa ana mzigoDaaah wabongo bhana hivi mnajua billionea anakuwa na vigezo gani? Kwa hapa tz watu wana pesa za kawaida tu hata sio za kutisha sana nashangaa watu wanamwongelea baraka ni bilionea wa mwanza daah.....
Kuna ka ukweli ila sio kila bilionea wa mwanza anatoka moshi au arushaafadhali umewaambia ukweli
Huyu nimemkubali...aisee kimya kimyaJina lake kamili ni Kitano Chacha na hamiliki kijimeli ni meli. Ana meli kubwa za nguvu tisa na kuna moja inajengwa kwa ajili ya ziwa Tanganyika ya thamani ya Tsh bilioni 5.78.
Meli zinazofanya kazi ni Mv Nyakibalya, Mv Chacha, Mv Munanka, Mv Mugendi, Mv Wankyo, Mv Matara, Mv Nyangi, Mv Kirumba na Mv Arez.
Baadhi ya meli zake zinafanya kazi katika nchi za Uganda na Kenya na si tu kwamba ndiye mwenye meli nyingi katika jiji la Mwanza ila katika Tanzania nzima.
Pia anamiliki kiwanja kikubwa mtaa mzima kati Pamba na Rwegasira ambacho NSSF walikitaka kwa 5b akawatolea nje.
Ni mlipaji mzuri wa kodi zote za serikali, anacho cheti cha mlipa kodi bora wa wamiliki wa vyombo vya majini nchini.
Joka ndani sema yule si anaishi DarJoka la makengeza halipo kwenye list?
Wachaga wa mwanza wana hela ya kawaida kabisaMbona weng si wachaga na wasukuma_, naona wakurya tu nyankundo
Heb mkuu toa ushahidi angalau wa kimazingiraMshukuru Mungu kwa kila hali,hao wanaotajwa hapa,aidha mmoja analala na maiti,amemtoa kafara baba au mama,anafuga joka kubwa au analala na binti yake
We una tatizo, ivi unajua utajir wa mengi, anautajiri wa dollars mill 700, bakresa ana utajir wa 1.6trilion EB fatilia vzr
Ni mimi kumbe uliniona eeHivi huyu jamaa nimekutana nae junk mdogo anaendesha hizi land rover sometimes hummer hua ni nani? Anaonekana kama muha muba hivi, kuna siku tumekutana bank ana mafungu ya hela za 10,000 kama sio bilioni basi zaidi..maana zilikua rambo kubwa kama 5 hivi zimejaa jamaa mdgo sidhani kama amefikisha 30
Mzee Wa Vijisenti Siyo Wa Mwanza mkuu ...Joka la makengeza halipo kwenye list?
Ni Kweli Mkuu Geita Kuna Raia Wana Hela Hadi Kero Lakini Huu Uzi Ni Kwa Ajili Ya Matajiri Wa Mwanza Kama Vipi Anzisha Uzi Wa Matajiri Wa Geita Tuujadiri ...Nasema mm geita inamatajiri wakubwa wasiojua wapi wawekeze noti zao.pia geita tycoon wanapesa chafu kuliko hao wa mwanza japo geita haina mfanano kama kunamatajiri pale.nanaojua nachokizungumza wameelewa
Mkuu Huyo Atakuwa Haijui Vizuri Mwanza Kama vipi mpotezee ...Hii thread ina vituko kuna mmoja anasema pale kirumba kuna bar imefunguliwa juzijuzi tokea ianze kufanya kazi wateja hawakauki hivyo mmiliki wake ni billionaire wa Mwanza hhahahaas yaani nimecheka kidogo nipaliwe.
Acha Uongo Wewe Utakuwa Humjui Vizuri Kitana ... uongo ni dhambi ... tena dhambi kubwa sana ...Afu watoto wake wanasoma shule za kata wote duuh
Siyo Kweli Mkuu Wewe Utakuwa Huijui Mwanza Vizuri ...Mwanza imejengwa na Mabilionea Wa Arusha na Kilimanjaro..
Hizo Ni Fikra Zako Tu Mkuu Huyo Hata Kwenye Msafara Wa Mamba Hayumo ...Hamkawii kusema hata mmiliki wa jembe ni jembe ni bilionea