LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Huyu ni wa Shinyanga, afu ni marehemu kwa sasa,may he rest in peacepaulo ngwani
Huyu ni wa Shinyanga, afu ni marehemu kwa sasa,may he rest in peacepaulo ngwani
Nasikia alikua na utajiri wa kishirikina flani hivi sa sijui kweliHana kitu sasa hivi
hata mimi nilisikia,sasa sijui kama ni kweliNasikia alikua na utajiri wa kishirikina flani hivi sa sijui kweli
10. Otonde Group...hawa jamaa nao wanakuja juu sana. Ni wakandarasi pia huuza hardware mitaa ya RwagasoreNilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.
Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Hahahaha....nmejkuta nacheka mwenyewe, mkuu ni kukomaa tu...ukiwa strategic mbona utatokaSiye wengine sijui hata tunakosea wapi mpaka haupo kwenye hizi orodha ilihali wote tulizaliwa uchi!
Ilo nalo neno aise...hahahaha. Wengine sasa iv wapo dubai wengine China af sisi tunawadiscus, kwel pesa rahaAisee kweli pesa zinatangaza bila malipo...
Wao hata hawajui kama sisi makapuku tunawashindanisha huku "habari za tajiri muulize masikini.
Mzee Shinyanga anazima wote.Nilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.
Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Mogul wa hilo jiji ni gachuma toka miaka ya 90.....wakti huo kitana hana hata corrola....angalia gachuma anamiliki majengo mangapi hpo mwz plus magodown.....pia anashare exim bank,cocacola nyanza,vita foam,serengeti breweries etcKitana ndo kubwa lao,Mwanza nzima hapa hakuna ngozi nyeusi ina noti kama hupo mtu.
Usicheze na mtu anamiliki pantoni za mizigo,we uliza tu pantoni moja kulijenga ni gharama gani utajuaMogul wa hilo jiji ni gachuma toka miaka ya 90.....wakti huo kitana hana hata corrola....angalia gachuma anamiliki majengo mangapi hpo mwz plus magodown.....pia anashare exim bank,cocacola nyanza,vita foam,serengeti breweries etc
Pantoni gharama zake ziko juu ila haiwezi kufikia thamani ya majengo ambayo yamejengwa city centre......thamani ya mwz hotel,jengo lenye exim bank ni sawa na feri zote za gitana..Usicheze na mtu anamiliki pantoni za mizigo,we uliza tu pantoni moja kulijenga ni gharama gani utajua
Kweni majengo ya Gitana pia huyajui?Pantoni gharama zake ziko juu ila haiwezi kufikia thamani ya majengo ambayo yamejengwa city centre......thamani ya mwz hotel,jengo lenye exim bank ni sawa na feri zote za gitana..
Feri sio fixed asset hiyo mwz hotel akitaka kuuza saa ni zaidi ya 10bn kutokana na sehemu ilipo na eneo
Mkuu waombe unywe nao chai wakukate kiuNilipotua mwanza mara ya kwanza nilipapenda mno,hasa kutokana na usafi,na usheshi wa watu wake,Jiji hili lilikua limetulia siku hiyo ya Jumapili,na ambacho sikukijua,ni kwamba Mwanza kuna Mabilionea wengi kuliko nilivyofikiri,wengi wakiwa wasukuma na Wachaga,Hawa wachaga,ni Wamachame na wasiha.
Source of income ilikuWa Uvuvi,Biashara ya Spea na Usafirishaji,wasukuma wamebase kwenye uvuvi na madini,na wachaga wamebase kwenye biashara za maduka,vipuli na usafirishaji hasa wa vyakula ambavyo viko kwa wingi.Hhawaingiliani,na wanaheshimiana,kwenye biashara ya hardware kubwa wamekamata wahindi.
Ukiangalia kwa umakini utagundua matajiri wengi wa Mwanza hawajulikani hapa nchini,na wanaojulikana ni wachache wanaoishi Dar.
Wana sifa Moja,wakimya na wana heshima,.acha mbwembwe zote za kisukuma.Pia wana ubinadamu,sio kama matajiri wetu wa Dar.
Tatizo lao ukiwazingua wanakuzingua kweli, kuua kwao si ishu sana
Kwenye uzi huu,naomba watu wa Mwanza mnisaidie kuwaongeza mabilionea hawa na wasifu wao,kazi na aina ya kazi anayofanya maana kwenye uzi wa wababe wa Arusha mlilalamika mno.
1. Gachuma-CocaCola
2.Mwanza Huduma-Hardware and acesories
3.Texas-Hardware
4.Gitana-Uvuvi
5.La kairo-Hotel,Foods and Hospitality
6.......
7.......
cc.fisadikuu
Uongo ni dhambi mbaya sanaaaaMkuu NG'OLO SAFARIS Bado Yupo Kwa Sasa Anamiliki Hiace Kibao ... Coaster Kibao ... Majumba Kibao Na Magari Ya Kubeba Mizigo Kibao Yanapiga Masafa Marefu
Naye ni tajir????Henry Matata Meya Mstaafu