Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,849
Sina cha kuchangia.
hv wakuu mtu ukiaga dunia na biashara zako zinakufa? au ni uzembe wa Mke? au wa matajiri wenyewe kutowafundisha wanawake?
DahMtu mzima dawa. Bahat nzur gari nilikwepa akagongwa mamako.
Baraka aliwahi kutaka kuchukua kikosi chote Cha FFU Mwanza akiajiri yeye pekee. *****Mwanza kila gorofa kumi nane za wachaga huku tajiri wa kweli ninaye mkubali ni baraka huyu ni hatari ana pesa sana
Hizi comment ndio zinakuja kuwaweka hao wenzenu matatizoni....SERIOUS MTU BINAFSI UCHUKUE KIKOSI KUTOKA JESHI LA POLISI UKIAJIRI?Baraka aliwahi kutaka kuchukua kikosi chote Cha FFU Mwanza akiajiri yeye pekee. *****
Mkuu wa FFU alimuita akamwambia huo unaoufanya ni uhaini. Unataka kuchukua kikosi kizima Cha askari?Hizi comment ndio zinakuja kuwaweka hao wenzenu matatizoni....SERIOUS MTU BINAFSI UCHUKUE KIKOSI KUTOKA JESHI LA POLISI UKIAJIRI?
Kaka habar nisaidie mawasiliano yako please ni muhim tuzungumze jamboNasema mm geita inamatajiri wakubwa wasiojua wapi wawekeze noti zao.pia geita tycoon wanapesa chafu kuliko hao wa mwanza japo geita haina mfanano kama kunamatajiri pale.nanaojua nachokizungumza wameelewa

Jembe n jembe nae tajiri wa mwz,joseph kasheku mwenye mabasi mabovu kama ya kupakia mifugo nae tajiri?hapo mwamba ni kitana na lakairo....dialo kachoka kitamboKiswaga,
Kasheku,
Kitana,
Genji,
Kishimba,
Lakairo,
Dr limbu,
Diallo,
Jembe ni jembe,
Mzee wa shy japo ni marehemu ila Mali na utajiri bado upo sana,
Nsagali (NGS)
NK
Sawa ila wapo wengi sana tyuJembe n jembe nae tajiri wa mwz,joseph kasheku mwenye mabasi mabovu kama ya kupakia mifugo nae tajiri?hapo mwamba ni kitana na lakairo....dialo kachoka kitambo
Kitana anapesa kuliko matajiri wote mwanza kunakipindi alikopesha benk ya NMB yeye anaingiza ela bank na hatoki anameli zake watoto wake wanatembelea v8 na whawana rleimu ujueHuyu jamaa sijajua kama ka invest,ila inavyoonekana ana mzigo mno unaweza tupa investment zake mkuu?
Jembe ni jembe Hana pesa niulize Mimi yule ni rafiki yangu sana hata namba nakupa Hadi huyu baraka nakupa namba lakairo nakupa nambaSawa ila wapo wengi sana tyu
GSM imebeba watu wengi sio mtu mojasio kuuza sura...unamjua home shopping centre au unamsikia.. kwanza google gsm transport, gsm pugu malls, gsm masasani malls, mkuki malls, gsm cement, gsm boda boda, silent ocean, amana bank, gsm media, gsm travels, alosco tower, alosco holdings, gsm baby shop, home shopping centre nowdays discount centre, gsm trucks, gsm tower... Mobile plaza tower mpya kariakoo inayptishia watu mitandaoni inavyowaka
kisha mtafute tajiri wa kanda ya ziwa hata mia moja waungane waone balaa lake...
huku dar watu wanaumiza vichwa serikali nzima wanaiba hadi tra wanaogopa.. wanawekeza kila sehem. mtu.anamsifia mtu mwanza kwa kuweka fedha bank wakati dar home shopping tu wanamiliki amana bank na ni part ndogo tu ya uwekezaji wao.. wana hela hadi wanaogopesha serikali
Mdogo wake lakairo huyu anapesa Sana aliingiza truck 32 Kwa siku mojaKuna wale wasukuma wana matruck ya kubeba mizigo yako mengi sana kuna wakati yalikuwa yanakujaa Arusha matruck marefu yenye tella ndefu, yalikuwa yanaongozana kama 20 yakiingia sheli yanafunga kabisa mauzo kwa wengine yalikuwa na rangi kama cream hivi, sijui ni nani mmiliki wake yalikuwa ya mwanza jamaa inaonekana wako njema wale.