Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Sahara Media Group ilianza vizuri kwa coverage nzuri na Vipindi kiasi Vizuri ila of recent imekuwa stagnant, no innovative ideas, there is a lot of monotony na imeshidwa kabisa kuwa na employee retention program. If it goes on like this...... it will close down
Ni kweli. Binafsi na team yangu tuliwahi kuwaletea strategic proposal nzuri to cater for innovation area wakawa wahuni tu. Nami nakiona kifo chao ki karibu.
 
Hivi huyu jamaa nimekutana nae junk mdogo anaendesha hizi land rover sometimes hummer hua ni nani? Anaonekana kama muha muba hivi, kuna siku tumekutana bank ana mafungu ya hela za 10,000 kama sio bilioni basi zaidi..maana zilikua rambo kubwa kama 5 hivi zimejaa jamaa mdgo sidhani kama amefikisha 30
 
Jamaa anitwa Zongiiii anapesa mingi sana yule
 
Kulikuwa na mmoja nilikuwa namfahamu alikuwa anaitwa Kashaga, huyu alianzia Arusha biashara ya phamacy, baadae akahamia Mwanza akafungua duka kubwa sana la madawa ya binadamu na alikuwa anaingiza kontena zima la dawa anasambaza kwa wafanyabiashara wengine, ila jamaa alipata ajali ya gazi mwanzoni mwa 2000, alikuwa ana hela safi tu.
Pharmacy zake zinaitwa kayonza pharmacy. Mrs kashaga bado anaendeleza business kama kawa.
 
Back
Top Bottom