Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.KWENU, National microfinance bank(nmb),hua mnajinasibu na kujifaragua kwamba ukiwa na akaunti ya nmb kutuma pesa kwenda nmb ni bure...
Leo hapa sijawaelewa kabisaNdugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Hata mimi sijaelewaLeo hapa sijawaelewa kabisa
Mi-5 tena!Nimepata ujumbe mfupi kutoka NMB ya unaosema" Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye account yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021...
Tatizo sio NMB, tatizo ni yule asiyefikiria na kutafuta chanzo kizuri cha kukusanya pesa isipokuwa pesa yenyewe. Tunarudishana nyuma na kutiana umaskini kwa misururu ya kodi. Mungu aturehemu.KWENU, National microfinance bank(nmb),hua mnajinasibu na kujifaragua kwamba ukiwa na akaunti ya nmb kutuma pesa kwenda nmb ni bure...