Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Acha watuangamize watakavyo tu maana Hatuna wawakilishi tena.
Unauza bidhaa unakatwa kodi, unatoa pesa benki wanakata, tozo linapitia palepaleunabakiwa na nini kama si kumuongezea mtu wa mwisho gharama za maisha?
 
Back
Top Bottom