je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,847
- 3,561
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO:
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye simu tozo. Mnataka tuende wapi? Juzi nimetuma crdb to crdb nimeliwa 7500 huku nmb napo wanachukua tozo.
Kwenye simu miamala moto unawaka. Tunaumizana sana nchi hii