Ni sahihi kabisa. Siku kukiwa hakuna polisi barabarani huwa tunatumia muda mfupi sana kuendesha magari kutoka sehemu moja kwenda nyingineMkuu taa zipo very accurate kuliko trafic, hii nimeichunguza kwa muda kidogo, siku kukiwa hakuna trafic foleni inatembea sana ila kukiwa na trafic unaweza kukaa kwenye foleni hadi 1.5hrs
yote heri tu! Mbezi - Kivukoni 1,050.Mbuzi wa bwana Joni shamba la bwana Joni
Kwa nini?ila haya magari uendeshwaji wake jamani. nlikua nayakwepa tangu yaje mi na daladala tu..nlipoamua kuyapanda nlitaka kutapika.
Mkuu taa zipo very accurate kuliko trafic, hii nimeichunguza kwa muda kidogo, siku kukiwa hakuna trafic foleni inatembea sana ila kukiwa na trafic unaweza kukaa kwenye foleni hadi 1.5hrs
Naam haya madubuasha yalikosewa,ndani hakuna hewa kabisa.Sipati picha foleni lake na ndani ya basi kunavyokuwa na joto kali.
Halafu analima cha arushaMbuzi wa bwana Joni shamba la bwana Joni
Sasa ukipanda meli si utajinyeaila haya magari uendeshwaji wake jamani. nlikua nayakwepa tangu yaje mi na daladala tu..nlipoamua kuyapanda nlitaka kutapika.
kinachofanya nijiskie vibaya ni spidi kaliSasa ukipanda meli si utajinyea
mwendo..halafu kwenye kona pia hawapunguzi speedKwa nini?
Uzito wako ni Kg ngapi?!kinachofanya nijiskie vibaya ni spidi kali
Nimeona, haka kamchina kangu kiyoo kinaukungu mpaa uangalie maandishi kwa nguvu sana ndo uelewe, na huku kolomije hakunaga mafundi simu. cc kisu cha ngaribasoma vizuri..muoga sio muongo
[emoji23] haya fanya basi kuja dar japo hii pasaka uyapande japo ukapate kujibu maswali ya wengi kuhusu mwendokasi huko kolomijeNimeona, haka kamchina kangu kiyoo kinaukungu mpaa uangalie maandishi kwa nguvu sana ndo uelewe, na huku kolomije hakunaga mafundi simu. cc kisu cha ngariba
uzito unahusiana vipi hapaUzito wako ni Kg ngapi?!
Uzito wako nao ni siri?! Je ungeulizwa umri si ndio ungezma simu kbs [emoji23][emoji23]uzito unahusiana vipi hapa