Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Dah.... Chief bado Unajichanganya tu.. Kwa uelewa nilioupata kwenye kozi menejimenti ya foleni shule ya msingi darasa la sita.......Hakuna sehemu yoyote duniani ambayo unaweza kudhibiti foleni kwa kutumia muda pekee....bila kujua idadi ya magari yaingiayo kwenye barabara..idadi ya barabara zinazolisha hiyo barabara... Kasi ya magari...mabasi ya mwendokasi..... dharura ya gari LA wagonjwa... zimamoto nk nk.....Mkuu Rohombaya sidhani kama napaswa kuamini your name reflects your heart. Najua huwa ni fake ID tu ndiyo zinazo tumika kukufanya utiririke ukiwa huru. By the way, nimejaribu kuweka kila kitu kwenye yakirefu yangu nikijua tutakuwa tumeelewa kumbe baadhi bado tumeachwa. Katika hiyo ya kirefu zingatia mambo matatu.
1.Nimeaninisha ni body gani ya wataalam professional walioandaa Traffic lights management, hao professionals ni wataalam maprofesor , wengine ni PhD holder na wengine wana shahada zaidi ya moja waliobobea kwenye, fani hiyo over 20 t0 30 years. Na wamefanya hiyo kazi kwa miji mikubwa iliyoendele na mambo yanaenda bila askari kusimama katikati
2.Nimetoa angalizo kuwa kuna biasness kwa maamuzi yanayofanywa na wanadamu kwakuwa hawajasetiwa kufanya kazi wanayofanya. Since they are not system hence they 're susceptible to several mistakes. muda askari wa usalama barabarani anaotumia kuita magari bila kujijua anajikuta ametoa upendeleo upande mmoja kwa muda mrefu unafanana na muda ambao taa zimesetiwa kitaalam kuwaka upande huu na kuruhusu upande mwingine?
Regardless kama upande mwingine hauna gari lakini taa zikaruhusu as long as iko within necessary time, its better than huo utetezi wako usio wa kitaalamu ni wakufikirika tu. Huo ni kwa mujibu wa unachokiona lakini mimi nimekuelezwa body ilikaa kupitisha taa kufanya Road Traffic Lights Management. wewe unaniambia upande wa watembea kwa miguu kunakuwa hakuna taa. hilo sio tatizo la kitaaalam. hiyo ni insufficient ya working tools wataalamu walishamaliza
3. Nimeongelea suala la kuongeza muda kufanya setting kama wangependa upande Fulani uvutwe muda zaidi for a specific reason, its also possible kufanya setting ya taa na siyo kuweka askari ambaye hana monitoring control kichwani sometimes anakuwa taken by situation anavuta upande mmoja for a very long time, anachosha watu wengine kwenye folen.
ASKARI WAKAE MAHALI AMBAPO TAA HAZIFANYI KAZI, ACHA MANENO YAKO MKUU KWENYE NJIA ZA BRT NA SEHEMU NYINGINE KAMA ZINAFANYA KAZI SIYO MUHIMU MKUU, siyo lazima tu ubishe. inaelekea wewe hujakumbwa na hiyo adha ya foleni halafu mnavutwa kidogo wanaendele kuvuta upande mmoja kwa muda mpaka unachelewa na ku-cancel safari zako muhimu
NB:Kitu kikiongelewa na wataalamu waliobobea kwenye fani Fulani hao tunawaita ni CREDIBLE SOURCE kwakuwa wanaufahamu na ni professional juu ya jambo hilo
Na hizo rates hapo juu zinabadilikabadilika kila muda unapobadilika wakati muda wako ulio "calculate" uko vile vile.....unategemea nini? Ndiyo maana wakati askari huongoza magari wakati wa msongamano mkubwa huku wakiwasiliana na wenzao walioko kwenye sehemu nyingine mbali mbali wakifanya kazi kama vitambuzi na vihesabuji ( detectors & counters)
Labda utakuwa mgeni Dar..... miaka Karibu 10 iliyopita... muda mfupi baada ya Lowassa kuondoka madarakani.... Kulizuka kelele kama zako.... Wahusika wakahakikisha taa zote zinafanya kazi.... Askari wakaachana na biashara ya kuongoza magari.... kabla ya saa Tatu asubuhi Mji wote ulisimama..... ....usiturudishe nyuma bana[emoji13] [emoji13]