Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Nasikia kuwa yashaanza lakini bado hayajaanza kwenda kasi.
Mi ninavyojua haya yenye rangi ya bluu yanaitwa ya mwendo wa haraka, walipoona hayakimbii walibadili jina kutoka mwendo kasi hadi mwendo wa haraka.
 
ila haya magari uendeshwaji wake jamani. nlikua nayakwepa tangu yaje mi na daladala tu..nlipoamua kuyapanda nlitaka kutapika.
Dah.... Kacheki UPT kwanza... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo tuseme Trafck ameyagonganisha?
hapana mkuu ni umakini tuu unatakiwa pale unapokaribia junction iwe ina taa au haina taa punguza mwendo angalia usalama endelea na safari yako maana huwezi jua mbele kuna nin labda kuna ajali au msafara
 
Siwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic I natakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.
Mkuu laptop2016 na figganigga binafsi sioni umuhimu wa askari wa usalama barabarani kuongoza sehemu yeyote ile amabyo taa zinafanya kazi vizuri. Katika nchi zote zilizoendelea hata ufike busy town kama Tokyo, New York, Shanghai, Bombay na Amsterdam huwezi kukuta eti askari anaongoza kama umeme upo na traffic light au taa za barabarani zinafanya kazi, huu ni ulimbukeni ama mazoea ya wawahusika na Road Safety. Wameona wapi huo utaratibu? Mtakuja kuua watu kwa kazi ambayo hamstahili kuifanya.

Mimi na declare interest ni Profesional Registered member wa International logistics & Transport Institute-London UK. Moyo unaniuma sana ninavyoona wana violate roles za transport, kinachofanyika its only happened in Tanzania. Hawa askari wetu wa barabarani wengi unakuta wamesoma cert.za vehicle inspector pale NIT ukikuta waliosoma BACHELOR ama zamani ADVANCED DIPLOMA IN LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT. ADTM, ADLTM, BLTM pale chuo cha Taifa cha usafirishaji, mara nyingi wanakuwa maofsa hivyo ni mara chache na pia hawako entitled na kazi za kuongoza magari. Ama ukiwakuta njiani basi ujue mkubwa anapita au kuna operation maalum ya kukamata magari .wakimaliza wanarudi maofosini kwakuwa ethics za kazi huwezi kumpa officer hiyo role.

Road Transport is a feeder of all other modes of transport. Maritime Transport ambayo ni sea and ocean kwakuwa waterways ina-include lake transport na River transport hizo zote ni water transport na zina-depend on road transport, Air Transport ina-depend on road transport, Rail Transport ina-depend on road transport kupata pax -(abiria) wake.

Transporting goods and service from one place to another or people from one point of destination to where there's a demand for transport is what we call TRANSPORT. That is why transport become a "necessary devil in human life" to cater for a need of economic development, to any developed or developing country like Tanzania. It's where Road Traffic engineers, Logisticians & Transport Officers team up a solution of TRAFFIC LIGHTS MANAGEMENT to an area of road congestion as a result of junction. kwenye msongamano wa magari unaotokana na makutano ya barabara. hili wazo la traffic lights ni la kitaalamu siyo kutumia nguvu kuongoza magari.na ule muda wa traffic light unaotolewa kwa kila gari kwa highway na barabara za kona uko calculated kitaaalamu na body ya professional people kama nilivyo waainisha hapo juu.

Don't tell me hao wataalam ambao wote wako registered na body ya International logistics wengine ni foreigners na wamehusika kurekebisha miji kama Tokyo, New York, New Dell, na china wako wrong unachukua askari aliyekuwa malindo au ametoka ccp pale moshi au ametoka NIT kasoma miezi 3 au 6 Vehicle Inspector unamuweka barabarani unamwambia akaongoze magari, wakati yeye kajifunza ukaguzi wa magari. Mwenye shahada yake huwezi kumgusa labda akiwa anasubiri cheo. ACHENI TAA ZIFANYE KAZI ZIMEPIMWA, ZIMECALCULATIWA KITAAALAM na pia SERIKALI IMEZIGHARAMIA SANA. naomba wahusika zingatieni hilo. jifunzeni kwa nchi za watu. penye taa huoni askari anaongoza, wanakuwepo kuangalia usalama barabarani na wale ambao hawafuati hizo taa.

Kwa mfano pale TAZARA na UBUNGO ni shida tupu mpaka hizo fly over ziishe watu watakuwa hoi. askari pale Tazara anaruhusu magari yanayotoka njia ya bandarini kuelekea buguruni almost one & a half hour. Mpaka asikie gari la msafara wa magereza linawahi kuelekea mjini au yule mzee wa nyota tatu na gari yake ya kijani na escot ndiyo wananchi wakawaida wanaoenda Airport kuwahi Air transport wanaruhusiwa tena pale mara nyingi wasafairi kwa maana ya abiria wa ndege huwa wan-cancel trip na kuingia gharama mara mbili shauri ya foleni. Sasa huoni tuna athiri hata abiria na crew wa zile BOMBADIER zetu? na akisha pita mkubwa utaratibu ni ule ule siyo asubuhi,siyo mchana wala sio jioni utasema wale wamiliki wa malori wametoa maelekezo kwa askari wetu kuna malori yetu yatapita muda Fulani.

Na ukithubutu kupiga honi kama kutaka kumu-alert askari wetu kuwa labda umetusahau sisi upande huu umetuweka sana. Utanyooshewa kidole na hawezi tena kuruhusu upande huo umewaponza wenzako wote mtawekwa zaidi ya two hrs. huku akiendelea kuongea na simu yake ya mkononi.na kama kuna mwenzake pembeni atamuita kati aendelee na kuvuta upande mwingine kwa maelekezo yake. Unakuja kukamatwa, utawekwa pembeni, utanyanganywa leseni, funguo ya gari utaelezewa kusudio la kupelekwa central police traffic na inspection inaanza hapohapo. Na kwa magari yetu haya ya second hand from Dubai na Japan lazima ukutwe na kosa imekula kwako. Kazini huendi utacheleweshwa mpaka utajuta kupiga hiyo honi. Nafasi ya kuonywa hapo haipo ni adhabu kali utapewa na Inabidi uwe mpole usikilize maelekezo

Kama ingekuwa ni traffic lights zingetoa haki kwa kuruhusu magari kwa muda wa kitaalamu uliowekwa. Kama mnadhani kuna umuhimu wa upande Fulani upewe muda mrefu kidogo jamani zipo taa za kisasa zina setting. Matokeo ya kudharau wataalam walioweka taa ndiyo hizo ajali zinazo-onekana pichani na kusababisha ulemavu wa kudumu na upotevu wa roho za watu wasio na hatia. ACHENI TAA ZIFANYE KAZI. Kama resources ni nyingi basi wakae barabarani kuangalia drivers na pedestrians wanao kiuka alama za barabarani. Ni mawazo yangu siyo lazima yafuatwe na wahusika
 
Hili jukwaa kuna watu wanaichukia serikali sjajua kwa nini inafika mpaka kiasi hiki?,kimekuwa kama kisa cha mke kuambiwa mama kafariki anamjibu mme wake kwanza ngoja nikasuke nywele akijua kuwa huyo ni mama wa mme wake kumbe ni mama yake.
 
Chanzo cha foleni kinasababishwa na hawa askari(trafic)......kama taa zinafanya kazi wewe unaenda kufanya nini pale?
 
Dah.... Lipost lirefu Sana Chief.... Halafu kama Ulikariri tu shule yako... Ungeuliza kwanza kwanini askari wanaongoza wakati taa zipo Ungeweza kuelimishwa... Ni hivi mfumo wa taa za kuongeza magari hapa kwetu ni tofauti na huko ulikosomea..... Hapa kinachotumika ni timer pekee.. Hakuna vitambuzi vinavyoangalia urefu wa Foleni ya magari wala mtiririko wake.. ndiyo maana si ajabu taa kuruhusu magari hata upande ambao hakuna gari hata moja na kuzuia upande ambao kuna magari mengi na hivyo kufanya barabara isitumike na kuongeza msongamano usio wa lazima..jingine pia sehemu nyingi zilizo na taa za kuongoza magari kuna vivuko vya watembea kwa miguu visivyokuwa na taa.... Unategemea nini?.. Kuwa na taa za kuogozea bila ya kuwa na vitambuzi (detectors) kwenye barabara ambazo mtiririko wa Foleni umebadilika badilika ni SHIDA..na hicho ndiyo hasa askari anakifanya hata taa ikiwa zinafanya kazi....Chief Kuna haja ya kurudi shule ukaanze upya....[emoji13] [emoji13]
 
trafik nawashangaa sana kuongoza magar na huku taa zikifanya kaz wawe wanazima taa bas
 
Dah.... Lipost lirefu Sana Chief.... Halafu kama Ulikariri tu shule yako... Ungeuliza kwanza kwanini askari wanaongoza wakati taa zipo Ungeweza kuelimishwa... Ni hivi mfumo wa taa za kuongeza magari hapa kwetu ni tofauti na huko ulikosomea..... Hapa kinachotumika ni timer pekee.. Hakuna vitambuzi vinavyoangalia urefu wa Foleni ya magari wala mtiririko wake.. ndiyo maana si ajabu taa kuruhusu magari hata upande ambao hakuna gari hata moja na kuzuia upande ambao kuna magari mengi na hivyo kufanya barabara isitumike na kuongeza msongamano usio wa lazima..jingine pia sehemu nyingi zilizo na taa za kuongoza magari kuna vivuko vya watembea kwa miguu visivyokuwa na taa.... Unategemea nini?.. Kuwa na taa za kuogozea bila ya kuwa na vitambuzi (detectors) kwenye barabara ambazo mtiririko wa Foleni umebadilika badilika ni SHIDA..na hicho ndiyo hasa askari anakifanya hata taa ikiwa zinafanya kazi....Chief Kuna haja ya kurudi shule ukaanze upya....
emoji13.png
emoji13.png
Mkuu Rohombaya sidhani kama napaswa kuamini your name reflects your heart. Najua huwa ni fake ID tu ndiyo zinazo tumika kukufanya utiririke ukiwa huru. By the way, nimejaribu kuweka kila kitu kwenye yakirefu yangu nikijua tutakuwa tumeelewa kumbe baadhi bado tumeachwa. Katika hiyo ya kirefu zingatia mambo matatu.
1.Nimeaninisha ni body gani ya wataalam professional walioandaa Traffic lights management, hao professionals ni wataalam maprofesor , wengine ni PhD holder na wengine wana shahada zaidi ya moja waliobobea kwenye, fani hiyo over 20 t0 30 years. Na wamefanya hiyo kazi kwa miji mikubwa iliyoendele na mambo yanaenda bila askari kusimama katikati

2.Nimetoa angalizo kuwa kuna biasness kwa maamuzi yanayofanywa na wanadamu kwakuwa hawajasetiwa kufanya kazi wanayofanya. Since they are not system hence they 're susceptible to several mistakes. muda askari wa usalama barabarani anaotumia kuita magari bila kujijua anajikuta ametoa upendeleo upande mmoja kwa muda mrefu unafanana na muda ambao taa zimesetiwa kitaalam kuwaka upande huu na kuruhusu upande mwingine?

Regardless kama upande mwingine hauna gari lakini taa zikaruhusu as long as iko within necessary time, its better than huo utetezi wako usio wa kitaalamu ni wakufikirika tu. Huo ni kwa mujibu wa unachokiona lakini mimi nimekuelezwa body ilikaa kupitisha taa kufanya Road Traffic Lights Management. wewe unaniambia upande wa watembea kwa miguu kunakuwa hakuna taa. hilo sio tatizo la kitaaalam. hiyo ni insufficient ya working tools wataalamu walishamaliza

3. Nimeongelea suala la kuongeza muda kufanya setting kama wangependa upande Fulani uvutwe muda zaidi for a specific reason, its also possible kufanya setting ya taa na siyo kuweka askari ambaye hana monitoring control kichwani sometimes anakuwa taken by situation anavuta upande mmoja for a very long time, anachosha watu wengine kwenye folen.

ASKARI WAKAE MAHALI AMBAPO TAA HAZIFANYI KAZI, ACHA MANENO YAKO MKUU KWENYE NJIA ZA BRT NA SEHEMU NYINGINE KAMA ZINAFANYA KAZI SIYO MUHIMU MKUU, siyo lazima tu ubishe. inaelekea wewe hujakumbwa na hiyo adha ya foleni halafu mnavutwa kidogo wanaendele kuvuta upande mmoja kwa muda mpaka unachelewa na ku-cancel safari zako muhimu

NB:Kitu kikiongelewa na wataalamu waliobobea kwenye fani Fulani hao tunawaita ni CREDIBLE SOURCE kwakuwa wanaufahamu na ni professional juu ya jambo hilo
 
Back
Top Bottom