Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Hizo taa wangeziweka switch...akiwepo traffic wazime...maana hili la kuongoza magari traffic wakati na taa zinawaka linachanganya saaana madereva...bora yamewakuta wenyewe labda watalishughulikia...
Unakuta traffic mwenyewe haonekani...unafanya kunyemelea ...sasa ujkute ni taa afu upige break kwenye pundamilia...unalo[/QUOTE
Imenikuta juz.. Kwenye zebra
 
[emoji23] haya fanya basi kuja dar japo hii pasaka uyapande japo ukapate kujibu maswali ya wengi kuhusu mwendokasi huko kolomije
Pasaka hii nakuja, kwaya yetu kanisani imealikwa huko, na mimi ni mzee mshauri kwahiyo nitawasindikiza wanakwaya. Nitafurahi sana kwa mara ya kwanza kufika huko Tanzania, nitatafuta mbinu yoyote nibaki angalau wiki ili niweze kumtafuta mwana shule mwenzangu aitwae Daud, nasikia yupo huko wala sijui anafanya kazi wapi.
 
Yanni wanakimbia sana haha madereva yaani wifi wangu mama gaude nusu mima itoke kwa ajili ya mwendo
 
Siwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic inatakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.
Kweli
 
Yamegongana au yamekwepana toa maelezo yako vizuri ili tujue tunachangia lipi.
 
Mkuu kikubwa ni kuzima taa ili madereva wawe waangalifu pale trafiki anapokuwa ana ongoza magari
Well said kabisa. Na km isingekuwa ubabe tu mtu akipata ajali baada wa kufuata taa labda hakumwona askari inabidi yeye ndo alipwe coz kiapoongoza kimoja lazima kingine kisimame na kitendo cha kuweka taa it means traffic haitajiki pale na hata akiwepo inabid azime taa
 
Hizo taa wangeziweka switch...akiwepo traffic wazime...maana hili la kuongoza magari traffic wakati na taa zinawaka linachanganya saaana madereva...bora yamewakuta wenyewe labda watalishughulikia...
Unakuta traffic mwenyewe haonekani...unafanya kunyemelea ...sasa ujkute ni taa afu upige break kwenye pundamilia...unalo
great stuff.
 
Pasaka hii nakuja, kwaya yetu kanisani imealikwa huko, na mimi ni mzee mshauri kwahiyo nitawasindikiza wanakwaya. Nitafurahi sana kwa mara ya kwanza kufika huko Tanzania, nitatafuta mbinu yoyote nibaki angalau wiki ili niweze kumtafuta mwana shule mwenzangu aitwae Daud, nasikia yupo huko wala sijui anafanya kazi wapi.
[emoji23] kumbe dar ndo tanzania...sikujua
 
Back
Top Bottom