Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Sitashangaa kusikia Cheo cha Juu zaidi nchini kinawatumbua madereva. Au kutoa amri yoyote kwa wahusika ilhali kuna subordinates.
Udart ni kampuni binafsi, huyo mkuu hana say hapo, kidume hapo ni mgwassa.
 
kawaida tu ndege zinagongana angani ijekuwa mwendokasi?





just jocking
poleni abiria kwa mtikisiko
 
Embu tupia picha tumuone uyo mende[emoji23][emoji23]
12716936_1696922187251558_1384582325_n.jpg
 
Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar.

We live in a strong world where the poor walk miles to get food, and the rich walk miles to digest food. Mia
 
sasa yamegonganaje jamani, au madereva wana mawazo ya bashite
ni uso kwa uso au mbele limemgonga mwenzake nyuma?
 
Njia nzuri ya kuonyesha uongo wa mtu ni kueleza ukweli, haitoshi tu kumuita muongo. Sisi tulio kolomije tunataka maelezo kwamaana hatujui hayo magari hata yanafanana vipi.
soma vizuri..muoga sio muongo
 
Back
Top Bottom