MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Uzuri haya mabasi huwa hayaui watu, yanaharibika yenyewe tu
Hana kazi, anaperuzi jf akisubiri taarifa kama hizi ili apige mikwara.Sitashangaa kusikia Cheo cha Juu zaidi nchini kinawatumbua madereva. Au kutoa amri yoyote kwa wahusika ilhali kuna subordinates.
muoga sana yaniWewe ni muoga.
muoga sana yani
Mende mtu ama mdudu![]()
![]()
![]()
yameshaua watu kama watano hivi..dereva bajaji,mlemavu alielala pembeni,mtoto akiwa na mamake kweny pikipiki....Uzuri haya mabasi huwa hayaui watu, yanaharibika yenyewe tu
Mende
mwenye miguu mitatu ama sita?
Nasikia wamewashiwa kiyoyozi na luningaSipati picha foleni lake na ndani ya basi kunavyokuwa na joto kali.
Njia nzuri ya kuonyesha uongo wa mtu ni kueleza ukweli, haitoshi tu kumuita muongo. Sisi tulio kolomije tunataka maelezo kwamaana hatujui hayo magari hata yanafanana vipi.Wewe ni muoga.
Hakimu sokwe, shahidi ngedere!Kesi ya nyani na tumbili
Ajari-Ajali.Ajari tu kama ajari zingine
Aisee basi ni bahati mbaya kwa sababu ilikuwa ndiyo wanaanzamwenye miguu mitatu ama sita?