Mabasi 70 ya Mwendokasi yameharibika, RC Chalamila atoa wiki 2 yarekebishwe

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,107
49,807
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha mabasi 70 mabovu yanafanyiwa marekebisho na yarudi kuendelea na kazi ili kuondoa kero ya usafiri huo kwa wananchi waishio mkoani humo.

Akizungumza wakati aliopotembelea kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara, Dar es Salaam amesema anashangazwa kwanini idadi kubwa ya mabasi hayo ni mabovu licha ya kuwa mtoa huduma analipwa fedha katika mradi huo, jambo linalopelekea ongezeko la mahitaji kwa wananchi.

“Sitakuwa tayari kuona Rais Samia Suluhu Hassan aliye na nia njema na huu mradi anatukanwa kwa sababu tu ya uzembe wa watu fulani kushindwa kutimiza majukumu yao,” amesema Chalamila.

Kwa upande wa DART katika mahojiano na gazeti la Mwananchi Oktoba 11 mwaka huu ulisema kufurika kwa abiria hususani wa kituo cha Kimara kunasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja, pia kutokuwa na mfumo rasmi wa kuongozea mabasi hayo.

===

Kutumia mabilioni ya pesa kujenga njia za Mwendokasi harafu hakuna Ufanisi ni hasara na upuuzi.

Kila mara nawaambia hakuna siku sekta ya Umma itapata Ufanisi Kwa kufanya biashara.

Kama mumeamua Kuruhusu private operators kwenye reli ya Tazara nk, na huko DART pigeni mnada private sector waingie nyie mchukue Kodi vinginevyo ni shida.

Sheria za Serikali huwa zina mlolongo wa kuchukua maamuzi hivyo sio sawa kufanya biashara.Mfano bus limeaharibika mpaka madokezo sijui yaende wapi pesa kuja kutoka ni mlolongo wakati private sector ikiharibika inaingia garage mda huo huo.

So nitoe wito Kwa Serikali biashara achilia sekta binafsi, binafsisheni hiyo nyie mchukue Kodi full stop.

My Take
TRC,ATCL,Tazara na DART/BRT vimetushinda,ndio Bandari Tutaweza? Harafu unakuta mapunguani kama hayo ndio yanakenua ooh Bandari imeuzwa 😂😂

View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1712488878265848074?t=Mqv80EOjyMx6gFqB7U87RQ&s=19
 
Wabongo ni takataka. Ofisini wamegeuza ni mahali pa kupigia umbea
Hata wasipopiga umbea watafanya nini na akili hamna?

Jamii yeyote ambayo imekuzwa bila competition lazima iwe na tabia za ki zombie.

Nimefanya kazi ya Wakenya na Wakorea nilijifunza utofauti Wetu na wao.

Wewe unadhani Kwa nini mambo ya uganga ndio yamejaa hapa Tanzania?
 
Haya ndio Madhara ya ujamaa Sasa ,inakunyima akili ya kuwa aggressive.
Creative, self-propelled hardworking mindset siyo lazima iwe motivated na nia ya kujitafutia faida binafsi.

Badala yake, just by having those very qualities tayari ni ufanisi wa hali ya juu kabisa.

Maana yake ni kwamba tatizo siyo sera fulani per se, bali tatizo ni ufukutu ulimo moyoni mwa wale wanaotegemewa kutekeleza sera husika.
 
Menginr yapo pale ubungo wameyatelekezs badala wayarekebishe
wabantu hamuwezi kuendesha miradi halafu wakija wenye ujuzi munaanza kulalamika. Hapo angekuwepo mzungu au muhindi kila kitu kingekwenda sawa.
Hiyo ni economic sabotage, na inafanywa makusudi.

Viongozi na sie wananchi ndio wa kulaumiwa.

We must hold all those reckless individuals accountable!
 
Creative, self-propelled hardworking mindset siyo lazima iwe motivated na nia ya kujitafutia faida binafsi.

Badala yake, just by having those very qualities tayari ni ufanisi wa hali ya juu kabisa.

Maana yake ni kwamba tatizo siyo sera fulani per se, bali tatizo ni ufukutu ulimo moyoni mwa wale wanaotegemewa kutekeleza sera husika.
Hakuna mahala hivyo vitu vitakuwepo kama hakuna hiyo motive,never na ndio maana Smith anaseama in that personal course ya kujitafutia Mali binafsi unacreate welfare Kwa Wengine in terms of Ajira,services nk na inturn Wealth of the nation.

Sasa ujamaa hauna hiyo lazima watu muwe mazombie ya kulalamika Kila kitu.
 
Watu wengi hawaelewi kuhusu mradi wa mwendokasi na ndio maana wengine wanalalamikia ujamaa na wengine wanalalamikia kuhusu ufanisi wa mashirika ya umma.
Mradi wa udart ni mradi wa ubia Kati ya serikali na sekta binafsi na hapo ndipo tatizo lilipoanzia.
Kabla ya kuanzisha mradi wa mwendokasi tafiti zilionyesha serikali ilikuwa inapoteza shilingi bilioni nne siikumbuki Kama ni kwa siku au kwa mwezi.
Duniani kite mwendokasi huwa ni mradi unaoendeshwa na serikali serikali, uingereza walijaribu kumpa mtu binafsi lakini walimwondoa baada ya muda mfupi kwa sababu alikuwa haondoi gari mpaka abiria wajae.
Kwanini serikali ndio inaendeshwa hii miradi? Jibu ni kwa sababu mwendokasi haitoi faida ya moja kwa moja. Faida wanayopata serikali ni pale wananchi wanapowahi kwenye shuguri zao, watazalisha na serikali utapata mapato kupitia Kodi.
Ukienda kupanda mwendokasi utakuta mabasi yamepaki yanasubiri Hadi abiria wajae na mengine yanajaza abiria kupita kiasi.
Wale wahenga wanakumbuka uda za kwenda masaki zilikuwa zinakwenda kwa muda, muda ukifika hata abiria akiwa mmoja inaondoka na ndivyo mwendokasi inavyotakiwa hata Kama abiria ni mmoja muda ukifika linatakiwa liondoke Sasa tujiulize ni mwekezaji gani anaweza kuendesha biashara isiyompa faida. Hakuna mwekezaji anayekuja kutoa msaada, wore wanakuja kufanya biashara na kupata faida.
 
Sasa Kwa Tanzania vyote havipatokani na Kuna maana gani Kwa Nchi maskini kutumia mabilioni eti kujenga Barabara za Mwendokasi ,kununua mabasi ya kuwawahisha watu kazini?

Tuchague Moja ni Aisha tumtoe huyo unaesema mbia au tufanye wenyewe Kwa hasara.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha mabasi 70 mabovu yanafanyiwa marekebisho na yarudi kuendelea na kazi ili kuondoa kero ya usafiri huo kwa wananchi waishio mkoani humo.

Akizungumza wakati aliopotembelea kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara, Dar es Salaam amesema anashangazwa kwanini idadi kubwa ya mabasi hayo ni mabovu licha ya kuwa mtoa huduma analipwa fedha katika mradi huo, jambo linalopelekea ongezeko la mahitaji kwa wananchi.

“Sitakuwa tayari kuona Rais Samia Suluhu Hassan aliye na nia njema na huu mradi anatukanwa kwa sababu tu ya uzembe wa watu fulani kushindwa kutimiza majukumu yao,” amesema Chalamila.

Kwa upande wa DART katika mahojiano na gazeti la Mwananchi Oktoba 11 mwaka huu ulisema kufurika kwa abiria hususani wa kituo cha Kimara kunasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja, pia kutokuwa na mfumo rasmi wa kuongozea mabasi hayo.

===

Kutumia mabilioni ya pesa kujenga njia za Mwendokasi harafu hakuna Ufanisi ni hasara na upuuzi.

Kila mara nawaambia hakuna siku sekta ya Umma itapata Ufanisi Kwa kufanya biashara.

Kama mumeamua Kuruhusu private operators kwenye reli ya Tazara nk, na huko DART pigeni mnada private sector waingie nyie mchukue Kodi vinginevyo ni shida.

Sheria za Serikali huwa zina mlolongo wa kuchukua maamuzi hivyo sio sawa kufanya biashara.Mfano bus limeaharibika mpaka madokezo sijui yaende wapi pesa kuja kutoka ni mlolongo wakati private sector ikiharibika inaingia garage mda huo huo.

So nitoe wito Kwa Serikali biashara achilia sekta binafsi, binafsisheni hiyo nyie mchukue Kodi full stop.

My Take
TRC,ATCL,Tazara na DART/BRT vimetushinda,ndio Bandari Tutaweza? Harafu unakuta mapunguani kama hayo ndio yanakenua ooh Bandari imeuzwa
DART kuwa mwenyewe bila mshindan ndio chanzo cha huduma mbovu kwa wasafir wakat wa asubuh na jion .
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuhakikisha mabasi 70 mabovu yanafanyiwa marekebisho na yarudi kuendelea na kazi ili kuondoa kero ya usafiri huo kwa wananchi waishio mkoani humo.

Akizungumza wakati aliopotembelea kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara, Dar es Salaam amesema anashangazwa kwanini idadi kubwa ya mabasi hayo ni mabovu licha ya kuwa mtoa huduma analipwa fedha katika mradi huo, jambo linalopelekea ongezeko la mahitaji kwa wananchi.

“Sitakuwa tayari kuona Rais Samia Suluhu Hassan aliye na nia njema na huu mradi anatukanwa kwa sababu tu ya uzembe wa watu fulani kushindwa kutimiza majukumu yao,” amesema Chalamila.

Kwa upande wa DART katika mahojiano na gazeti la Mwananchi Oktoba 11 mwaka huu ulisema kufurika kwa abiria hususani wa kituo cha Kimara kunasababishwa na watu wengi asubuhi kuelekea upande mmoja, pia kutokuwa na mfumo rasmi wa kuongozea mabasi hayo.

===

Kutumia mabilioni ya pesa kujenga njia za Mwendokasi harafu hakuna Ufanisi ni hasara na upuuzi.

Kila mara nawaambia hakuna siku sekta ya Umma itapata Ufanisi Kwa kufanya biashara.

Kama mumeamua Kuruhusu private operators kwenye reli ya Tazara nk, na huko DART pigeni mnada private sector waingie nyie mchukue Kodi vinginevyo ni shida.

Sheria za Serikali huwa zina mlolongo wa kuchukua maamuzi hivyo sio sawa kufanya biashara.Mfano bus limeaharibika mpaka madokezo sijui yaende wapi pesa kuja kutoka ni mlolongo wakati private sector ikiharibika inaingia garage mda huo huo.

So nitoe wito Kwa Serikali biashara achilia sekta binafsi, binafsisheni hiyo nyie mchukue Kodi full stop.

My Take
TRC,ATCL,Tazara na DART/BRT vimetushinda,ndio Bandari Tutaweza? Harafu unakuta mapunguani kama hayo ndio yanakenua ooh Bandari imeuzwa 😂😂
White Elephant investment
 
wabantu hamuwezi kuendesha miradi halafu wakija wenye ujuzi munaanza kulalamika. Hapo angekuwepo mzungu au muhindi kila kitu kingekwenda sawa.
FYI: Wapo Waafrika wengi sana, na hata Wabongo, ambao ni very smart & uniquely responsible.

Wee endelea kuwasifu Wazungu na Wahindi wako.
 
Nani anaefanya hivyo? Mtaje Ili achukuliwe hatua.
Unamaanisha nikutajie wewe ili uwawajibishe au?

Umesahau kwamba watu kama hao wanaotajwa kwenye ripoti za CAG almost wote wanaendelea kula maisha kama kawaida bila kuguswa?

Hilo halikufikirishi?
 
Back
Top Bottom