katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda

Mmetumia muda mwingi kulumbana na Fisadi watoto badala ya kutujuza Mhe sana Dr. Slaa anaongea nini nimekasirika sana kwa hilo
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Akili fupi utazitambua kwa mawazo mafupi na mambo mafupi.
Ungelikuwa karibu ninge kutwanga makwenzi kwenye kichwa chao ili ubongo wako ufanye kaziiiiiiiiiiii! usiwe mvivu wa kufikiriaHivi unaweza kufananisha na maandamano hayo nayale ya Egypt, Tunisia na Libya?
Nyinyi mnafanya maandamano kama disco halafu mnafananisha na watu wanaofanya maandamano ya kudai mabadiriko!!!
Usidanganyike ukadhani kuwa maandamano ya Egypt, Tunisia na Libya yanafanana na disco inayochezwa Mwanza!
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Mike McKee usitake kuwapotosha watu picha zako unazopost si za Mwanza unatuwekea za Dar na Morogoro shame on you.
Picha hizo juu si za Mwanza, za Mwanza hizi hapa chini
![]()
![]()