Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 756
wewe maandamano unayoyataka ni ya mshikamano. tunawajua nyinyi, wivu tu umewajaa. mnaona nchi inawashinda mnasingiziaMaandamano. Mbona nchi za Kiarabu zimefanikiwa ktk kuandamana? Wewe subiri upepo ugeuke ndipo utakapojua nini kitawatokea. Kama mgeshinda kihalali bila ya wizi leo hii msingestuka hivi.Na kama mgechaguliwa kwa % mlizojitangazia. watu wote wangewaunga mkono. Soma alama za nyakati.Nchi imeshamwagiwa Petroli cheche tu Moto utawaka.
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.
Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.
Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".