waeleze watakuwa wanasumbuliwa na YAHAYA wala sio siri maana wameshaona maji yameshawazidiaacha upashikuna wewe huaridhiki chadema ikiwa pamoja. Zitto yupo mwanza na alikuwa kushoto kwa dr slaa, sasa huu umbeya na ufirauni unautoa wapi? Umezoea kutumwa kama jini wewe -jini tena la kike. Stopppppp your stupid behaviour.
lakini MWanf1 umedhibitisha hayo maneno ya huyo mtoa mada?
JE ni kweli Zitto amekataa?
je ilikuwa ni lazima wabunge wote waende Mwanza?
mbona watu mnakosa reasoning ability ya vitu vidogo tu
hao wanaoleta mada ni watu wasiotaka mazuri ya Mageuzi na mabadiriko tz kwa ujumla
hivyo msipokuwa makini na watu kama hao, mtaishia kulaumiana bure
kumbe inwezekana akawa ndio yeye mwenyewe eti?jeykey umeishaanza tena chokochoko. humpati mtu hapa. mbona humzungumzi Mbowe na akina Mnyika? JAMANI HUYU NI YULE YULE JEIKEI WA UKWELI.
Thank u LAT,mkuu mallaba ..usihangaike na desperate patient ..atakufia mikononi mwako .... zitto alikuwapo mwanza na hata asingekuwepo maandama yamefanyika kwa mafaniko makubwa sana ...
hivi Hospital zinajengwa na maandamano??[/QUOTE]
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.
Aluta Continua.
From kwenye Maandamano Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Picture added by JF Admin
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda
Andamaneni halafu kesho asubuhi au wiki ijayo mtuambie hayo maandamano yameleta mabadiriko gani?
Sio mnaandamana kila siku na hakuna kinachobadiria lakini bado mnaandamana tena na tena na tena.
Kuwa insane maana yake ni " to do the same thing again and again and then somehow expect different results". Mkiandamana kila siku na hakuna kinachobadirika mjue mko insane.
wasikusumbue hao, watu wenyewe wanahesabika, we unadhani watamtisha nani, naona padri ka prove failure leo maana naona watu kama wanamshangaa vile!!!!!!!!!!!!!!!!
ila hawa jamaa kwa kujipa moyo tu, wanaweza
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda