mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
go goo go CHADEMA go........................
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
more photos pls, and what is going on at the moment!!!
Unamfahamu Regia Mtema???????????????
Nimeipenda hiyo pichaAskali wamependeza kujimix humo na nguo zao basi wote wameonekana kama ni CDM safi sana, Utawala wa sheria hakuna kurudi nyuma na hakuna kutumia maguvu bila sababu Tanzania itajengwa na Dr Slaa Kikwete ameshindwa.
hivi Hospital zinajengwa na maandamano??
Unashupalia CDM walete maendeleo, unasahau kwamba CHADEMA hawako madarakani? Hawana Hazina, pesa yote iko na serikaliya CCM. Kinachofanywa na CDM kama chama makini cha upinzani ni kuhamasiha wananchi waelewe haki zao na raslimali walizonazo.
Vile vile kuwaonya watawala kuwa wananchi wamechoka na hali ngumu ya maisha
soma vizuri hiyo picha imetoka wapi, na imewekwa na nani -JF admin; hivyo hakuna kudanganywa, ni wewe tu ulikuwa hujasoma maandishi yote!nikweli mkuu hiyopicha tunadanganyana,buzuruga kama unakuja town kulia kuna stend kubwa ya mabasi nakulia kunakituo kikubwa chamafuta cha gbp ambapo eneolote lina lami namajengo hakuna barabara ya vumbi,labda hapo nimaeneo yakasulu au mpanda,nakataa katakata hapo sio buzuruga mwanza.tusidanganyane.
hivi Hospital zinajengwa na maandamano??
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.