Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

Kabla yake alizungumza Lema na amezungumzia hoja yake na spika. Anasema ni heri kufa mapema kwaajili ya watu kuliko kuishi miaka 10 halafu ukafa kwa typhod au kiharusi.
 
There are currently 501 users browsing this thread. (162 members and 339 guests)
Teamo Kindimbajuu kapotolo Arafat kipipili Calist ejogo jino kwa jino elimumali Mugumu GATS mgalisha ritz Kakuru Riwa luvcyna Mp Kalix2 Annony Jembe Ulaya Kibunango zaratustra MAMENGAZI Bado Niponipo Quinine mamakunda Mgombezi kambiringe coby Mr.Mak samirnasri TUKUTUKU Binti Sayuni Mbuki Feleshi MkamaP Fasta fasta Profesy LordJustice1 mshikachuma Mlengo wa Kati Chesty Haki.tupu Saharavoice alberaps KASHAGA kizaizai Eqlypz Mchili Felister ZeMarcopolo Mfuatiliaji Good Guy Ng'wanangwa JEYKEYWAUKWELI Jeni Chakaza Edson Mr. Zero Nono Shkh Yahya mtemiwao nyondoloja KiparaDar Madenge Lukansola kaka mtu Kamuzu Who Cares? Mkungo Lekule Semilong Kaka deo Mlangaja Mwera Tiba Kimambo Mphamvu Msolo Jembe_Ulaya tweve Kamakabuzi Haika wajanga Leonard Akaro Kiresua Manyanza Madabwada Lyceum Mpanzi Pukudu Yamwana Regia Mtema daughter THE PRINCE Ibra Mo Henge Victim kiwi2010 emma 26 Muadilifu spencer anjnr King Suleiman msikilizaji MILKYWAY GALAXY Nyakageni S. S. Phares Kiazi Kikuu Mzalendo80 Do santos Ugweno TwendeSasa Bonnie1974 MtwaleKaigarula bagumhe Zegreaty think BIG Bushbaby Nsololi Mtembea_peku kuthumiwa haule Masanja lebabu11 Hume Beria bmn Libasket b Lweye furahi Butola Mantaleka kaburunye Sabasaba Mkwele HISIA KALI Lukolo Qsm Tata Kamende MMASSY Sekenke mbarbaig Mr. JayJay KURUNZI Babkey UKOMBOZI TZ Gang Chomba Positive Thinker pmwasyoke OBWERE Don Alaba Shapu mambomengi QUALITY Mtumwa wa kweli Msanya makaptula manyema vuga abdalah fauster cabhatica.

heshima mbele wote hapo juu
 
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.

Aluta Continua.

From kwenye Maandamano Mwanza

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

182093_1470892587284_1682707865_914231_1937388_n.jpg

Picture added by JF Admin

Chama chenye viongozi wa wanafiki wakubwa hawaishi kwa Vitendo wanaishi kwa maneno tu! Tulitegemea Chadema wakatae zile 90 milion walizopewa wabunge! Hakuna hata Mbunge mmoja kutoka chadema aliejaribu kusema juu ya ufisadi huo! Leo wanapoteza muda kuandamanisha watu wanafiki wakubwa hao,hawana maana yeyote! Nimeanza kuichukia Chadema kwa kukubali kula rushwa ya 90m wakati watu wetu ni maskini! Tanzania hakuna chama chenye uchungu na watanzania vyote vinalengo la kujinufaisha na maslahi ya viongozi tu!
 
Kweli inatia preeeeesha!!!!!!!!!, duuu!!!!
Balaa watanzania tumebadilika. Saaaaaaaaaafiiiiiiiii....sana.
 
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?


Ila maandamano ya wana CCM kuunga hotuba za Rais kuhutubia wazee wa Dar yana tija kwa taifa siyo??
 
Sasa hivi tumesimama na wenye mabango yao wamenyanyua juu huku wanaimba wimbo wa freedom is coming tomorrow
 
Hapo kwenye red hapo, kikwazo ni KAFU
Mkuu mbona unaniangusha?CUF wanaweza kuzuia CHADEMA wasiandamane hapa Dar es salaam?CHADEMA ana majimbo mawili wakati CUF hana hata jimbo moja hapa Dar es salaam!!
 
Sasa ndio amekaribishwa Dr. Slaa, watu wanashangilia kwa nguvu sana
 





Chadema könnte dies maandamano benutzt haben, um Menschen zu initiieren ins Krankenhaus zu bauen, Schulen und Straßen. es ist Verschwendung von Zeit, um Menschen auf der Straße sehen
Si useme haya maneno kama unavyotaka kusema? Eti CHADEMA wanapoteza mda? Eti wangeandamana kuomba zahanati na shule badala yake wanaonekana wazushi?
 
Chama chenye viongozi wa wanafiki wakubwa hawaishi kwa Vitendo wanaishi kwa maneno tu! Tulitegemea Chadema wakatae zile 90 milion walizopewa wabunge! Hakuna hata Mbunge mmoja kutoka chadema aliejaribu kusema juu ya ufisadi huo! Leo wanapoteza muda kuandamanisha watu wanafiki wakubwa hao,hawana maana yeyote! Nimeanza kuichukia Chadema kwa kukubali kula rushwa ya 90m wakati watu wetu ni maskini! Tanzania hakuna chama chenye uchungu na watanzania vyote vinalengo la kujinufaisha na maslahi ya viongozi tu!
Ungejuaje kuna mil 90 kama sio Chadema kutangaza hadharani. Waziache ili mkalipie Dowans, acha wazichukue wakasaidie wananchi wao kuliko kuziacha JK akabembelee Jamaica, au akamsalimie Ronaldo, what a wonderful president is JK.
 
quote_icon.png
Originally Posted by elimumali
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?

piece (p
emacr.gif
s)n.1. A thing considered as a unit or an element of a larger thing, quantity, or class; a portion: a piece of string.
2. A portion or part that has been separated from a whole: a piece of cake.
3. An object that is one member of a group or class: a piece of furniture.
4. An artistic, musical, or literary work or composition: "They are lively and well-plotted pieces, both in prose" (Tucker Brooke).
5. An instance; a specimen: a piece of sheer folly.
6. A declaration of one's opinions or findings: speak one's piece.
7. A coin: a ten-cent piece.
8. Games a. One of the counters or figures used in playing various board games.
b. Any one of the chess figures other than a pawn.

9. Slang A firearm, especially a rifle.
10. Informal A given distance: "There was farm country down the road on the right a piece" (James Agee).
11. Vulgar Slang A sexually attractive person.

 
Wabunge, kahigi, Machemli, Wenje, Abwao, Kihwelu, Paulina Gekule, Conjesta Lwamlaza, Joyce Mukya, Naomi Kaihula, Philipa Mturano, Regia, Mnyika, Mdee, Sugu
 
Wow!
The CDM is famous huh!!
Sikutegemea kuona watu wengi kiasi hicho!!!
are all demonstrators or some are just bypassers?!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!

Kaka ur right. Dr aachane na hayo muda wa kampeni umeshakwisha. wanajamii wahamasishwe kushiriki na kujitolea kufanya isue za kuleta maendeleo na sio kushinda na makombati barabarani anashusha hadhi yake
 
Back
Top Bottom