Nipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
Originally Posted by elimumali
Do you know the meaning of Piece?
Kweli kabisa, wanadhani hili ni jukwaa la CCM au CDM! Nijuavyo wanaJF wanapenda sana haki na wachukia ufisadi.hawa wafuatao ni wapumbavu sana humu
jey key wa ukeli
jey key
mlengo wa kati
think twice
na mmwingine mmoja nimemsahau.........yaani ni mijitu ya hovyo kupindukia....
Wewe kweli umetoroka mirembe! Lema amekataa kuchukua 90m? Tuwe wazalendo ushabiki waa vyama utaendelea kutufanya maskini! Hivi chadema wanavyo imba wimbo wa Tanzania ni maskini ni busara kweli kwa wabunge wao kukubali 90m hasa kipindi hiki? Kuna tofauti gani kati ya Chadema na CCM na CUF hapa? Wote wamehongwa halafu wanatuambia wanatetea maslahi ya Taifa! Hopeless politicians! Najuata kuzaliwa Tanzania!
Kumbe shetani akizeeka anakuwa malaika, yaani leo wewe unawapa big up CDM sikubali naona kama changa hivi!cdm inatisha!!!
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Rev Masa, wewe kiboko maana huwa unatwanga nyoka rungu ya kichwa. tehe tehe tehe!
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!
kwa nini CHADEMA hawamnunulii Dr Viatu vingine, Dr anavaa viatu hivyo hivyo tangia ufunguzi wa campaign last year August.
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza
Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza
Nawapa big up zitto na shibuda
Nimesikiliza BBC saa 12 na dakika 40,hao unaowasema wamehudhuria maandamano. Acha kujikomba