Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,660
Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali
Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni
Baada ya tamko hilo Catherine ameonekana akimkosoa Mh Kabudi kwa madai ya kuwa Muziki wa Singeli hauna maadili sababu isiyokuwa na mashiko kwasababu yanawezakufanyika maboresho ya kuandika mashairi yenye jumbe za maadili
Catherine anapaswa kuishi maisha ya kilokole aliyochagua mwenyewe pasipokulazimisha watu wengine waishi kwa kufuata mienendo yake kwasababu kila mwanadamu anachagua kuishi atakavyo ilimradi asivunje Sheria za nchi vilevile binadamu ataamua mwenyewe kubeba au kuacha mzigo wa dhambi yeye mwenye kwasababu hakuna atakayemsaidia mwenzake kubeba ndhambi zake kwa lugha rahisi watu wasipangie watu wengine maisha kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe
Maswala ya Wokuvu hayahusiani na tamaduni za watu hivyobasi hapaswi kuizungumzia sanaa
View: https://www.instagram.com/reel/DGVoQ5etCCU/?igsh=Y3Bra3ozM2h0Mnhh