Aliyetoa siri za serikali kwa kumpa yule mama barua kuchunguzwa na kupewa adhabu stahiki -Luhanjo.
You came out with good narration but poor analysis to support your perception.The facilitation is just 0.04% of the budget.I hope you can use the analysis to finalise your comment.
Vua gamba!Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Aliyetoa siri za serikali kwa kumpa yule mama barua kuchunguzwa na kupewa adhabu stahiki -Luhanjo.
hivi kizazi cha wakati huu hapa tz hamna watu wenye kusubutu kama uncle tom na hashimu macghee. Kama wapo basi usubutu wao unahitajika sasa kuliko wakati mwingine wowote wa historia ya nchi hii.
Mlitegemea nini kipya, huu ni mtaji mwingine wa CHADEMA serikali inaipaisha Chadema bila kujua
pasipo serikali kufanya makosa kama haya ukombozi huwezi kufika haraka.
Hapo Mkuu tatizo sio Luhanjo, ni hiki kitaarifa cha mleta habari ndio hakieleweki. Luhanjo anatusomea ripoti ya CAG aliyoandikiwa Rais, ripoti hiyo haiwezi kuandikwa kinyumenyume namna hiyo. Haiewezekani Luhanjo asema tuhuma ni za uongo halafu asema hela zilichangwa, tuhuma gani sasa ni za uongo?Huyu Halisi ndio tatizo.
Ningekuwa Pinda ningeachia ngazi mara 1!
<br />Hivi aliyemtuhumu Luhanjo ukabila ni nani?
Mi nakwambia tusubiri ripoti ya Mkurugenzi ya wanyama pori, itaanza hivi "Mlisema wanyana walisafirishwa kwa Fuso, tumegundua walisafirishwa kwa Scania, mlisema kulikua na twiga 3, tumekuta twiga mmoja, mlisema Simba tumekuta sio simba ni Chui, Mlisema Tembo(sijui kisa pembe zao) sie tumekuta ni Kifaru mlisema walipitia Geti number tatu sie tumekuta walipitishwa geti number 7. Case Closed mkurugenzi hana kosa arudi kazini mara moja!<br />
<br />
Tz itatetewa na mtu yeyote ambae hana ushirikiano na magamba aka ccm
Jairo alisema tangu siku ya kwanza kuwa wabunge wetu ni sawa na kina Joti (Ze Komedi) and he was right. Sasa ni wakati wa kujihoji hawa comedians tuendelee kuwalipa hadi lini, maana kama wanapuuzwa hata kwenye ishu yenye ushahidi usioweza kutiliwa shaka, hawatufai na hatuwahitaji.
<br />Mhe Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Chiku Abwao, Mchungaji Msigwa, Kamanda Lema, BAVICHA, UDDASA, Tanganyika Law Society, Dr Hosea, Mama Shellukindo, Deo Filinkunjombe, Ole Sendeka, Mama Malecela, hivi mmesoma na kuyatafakari maneno haya?????????????????