Hivi aliyemtuhumu Luhanjo ukabila ni nani?
Acheni ujinga wa kutoheshimu maamuzi ya taasisi za serikali nyie waandishi wa habari. Hamna utaalamu wa kuchunguza na kukagua matumizi ya fedha. Juzi mlikua mnamsifia mkaguzi mkuu kwa kazi nzuri ya ukweli na uwazi halafu leo mnaponda matokeo halali na kitaalamu aliyoyatoa. KUweni na adabu, democrasia haifanyi kazi pale inapofanyia kazi matakwa na matumaini yako, inafanya kazi hata pale inapotoa haki kwa wengine. Acheni kuendekeza umbea
Ni wakati wa kuface reality na kujua tatizo ni lipi hasa kwa nini hatuendelei kuliko kuendelea kufuatilia watu na maisha yao. Tufuatilie maswala. Lowasa alishajihudhuru, mlinenepa?? Rostam ameachia madaraka, mmenawiri?? Dont be little girls (Virgnins). Ni wakati wa kuface reality na tu-discuss maswala kuliko kukalia kudiscuss watu.
Ni wakati wa kuface reality na kujua tatizo ni lipi hasa kwa nini hatuendelei kuliko kuendelea kufuatilia watu na maisha yao. Tufuatilie maswala. Lowasa alishajihudhuru, mlinenepa?? Rostam ameachia madaraka, mmenawiri?? Dont be little girls (Virgnins). Ni wakati wa kuface reality na tu-discuss maswala kuliko kukalia kudiscuss watu.
<br />Binafsi yangu sioni tatizo la kurudishwa kazini kwa Jahiro, swali je? Ni kweli uchunguzi ulilenga kuangalia mashirika mangapi yalichangia? Na je? Ghalama za kuhudumia bajeti husika inafikia kiac cha michango hiyo? Je wizara zingine nani anachangia? Kwann wizara hii? Kwanini swala hili lilimshua waziri mkuu na hali linajulikana serikalini? Mwisho uchunguzi ulifanywa kulenga nn na kwnn?
Nadhani nchi inakwenda pabaya, kama anathibitisha idara hizo zilichanga hizo fedha kuna sababu gani ya kumrudisha kazini?Luhanjo anathibitisha kuwa nchi inaongozwa kwa rushwa na huwa fedha inahitajika kupitisha mipango hewa ya serikali.
Kama yote yaliyosemwa sio kweli ila vingine vimekutwa ni kweli tunataka ushahidi gani???barua ipo, fedha zimnekutwa sijui tunataka ushahidi gani?
Ebo! Si amesema huo ni utaratibu wa kawaida?? Sasa siri iko wapi hapo?
<br />Jairo ni msiri mkubwa sana wa mkweree kwahiyo hata huo mchango inawezekana kabisa ulipata blessings za Ikulu. Siamini hata siku moja kuwa
wanyama pori wanaweza kutoroshwa toka mbugani kwa ndege ya kijeshi na kupelekwa mpaka Qatar bila vyombo vya dola kufahamu, na kama hivyo ndivyo basi IKULU yetu ilikuwa na taarifa kamili juu ya wizi wa wanyama hawa. Kama hivyo ni sahihi basi kusimamishwa kwa mkurugenzi wa wanyama pori ni dongo lingine la macho tunalaopigwa wadanganyika lakini siku ya siku jamaa atarudishwa kazini kuwa hakuwa na hatia!! Hiyo ndio serikali ya kishikaji, lakini iko siku mtakuja juta kwa haya mnayofanya.