boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,321
- 318
Toka mwanzo nilisema na wengine wakasema hivyo hivyo kuwa Jairo ni rafiki sana wa JK hatakubali rafiki yake adharirishwe na serikali yake iendelee kupata aibu hivyo lazima Jairo asafishwe na ndiyo maana pinda aliogopa kumwajibisha ingawa alitamka wazi kuwa angekuwa na uwezo angechukua hatua siku hiyo za kumwajibisha Jairo kwa yaliyotokea.
Lakini alipoongea na Jk nahisi alipigwa mkwara mzito na Luhanjo akapewa kazi ya kumsafisha jairo, Wizara na serikali kupitia kwa Utouh (CAG), na JK kama kawaida akanyamaza kama vile yeye si Rais wa Jamhuri ya Tanzania.
sasa kasafishwa vizuri sana aibu imekuja kwa Pinda kuwa na yeye ni muongo na mpika majungu