Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.

===========
UPDATES:

Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil

More updates to follow

My Take:
Ikisha semwa Complete Corrupted Members = C C M hayo ndio matokeo yake.

Sasa hizo zilizo changia ili iweje sasa?Pesa kwa ajili tu ya watendaji?

Mnatufanya sie ni vilaza ma zuzu subilini wambieni waanze kuweka diplomatic passport kwa wallet zao naona uvumilivu unapita kikomo now
 
What did we expect? more than this? definately not! Play the political games with Tanzanians' minds to win it......! Bila ya Misri, Egypty, Tunisia etc ....kila siku tutakuja hapa kulialia kama mbwa aisiye na mwenyewe wakati walioshika dola wakiendelea kutubiruabirua kama vibua.....! Too sad1
 
Nimekuwa na siku mbaya sana leo baada ya hii habari! Imeniacha na maswali mengi kuliko majibu!
1/. Ni kweli Jairo aliandika ile barua?
2/. Kama ni kweli alitaka zitoke kwenye fungu gani la bajeti ya wizara yake?
3/. Huo ndio utaratibu wa serikali kuwapatia watendaji wake zaidi ya 500mil. kuzitafuna kwa siku chache hivyo?
4/. Kama ni kwaajili ya watendaji, mbona barua ilikuwa inasema ni za kuwaweka wabunge sawa!?
5/. Ina maana Shelukindo na Kigwangala wamelidanganya bunge? Kama ni kweli, wanachukuliwa hatua gani?
6/. Mbona wizara inalia kuwa bajeti ni ndogo kila mara wakati watendaji wachache tu wanaoenda dodoma kwa muda mfupi tu wa kupitisha bajeti wanatafuna nusu bilion?

Kweli safari bado ni ndefu!
 
Pinda yupo yupo tu anaendeshwa kaa gari bovu, hana maamuzi yoyote katika serikali hii wenye maamuzi ni luhanjo tuu, ambaye naye ni fisadi tuu.
 
mambo mengine ni yakufikiri hivi unadhani mhe luhanjo angesema nini kwa jairo wakati na yeye
majuzi tu kalipuliwa kwa ukabila katika wizara ya maliasili na utaliii ni lazima angalie jinsi ya kulimaliza
hilo la jairo badala yake na yeye angekuwa nje , luhanjo yupo mlango wa pili tu na rais sasa huyu
jairo alikuwa katibu wa rais hapo ikulu mambo yote machafu anayajua sasa ""?unataka amwange
bonga hawo kina betrece shelikindo ndiyo hivyo watasema lakini wenye nguvu wapo hapo bado
mwezi mmmoja makelele yao yanafikia kikomo sasa????

kikupacho raha na uchungu kitakupa
 
Mh. Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda, Watanzania tulikuona na tuliisikia kauli yako live bila chenga pale bungeni

"Naungana na waheshimiwa wabunge, niliposikia ile taarifa hata mimi ilinikera sana, nikatamani nije hapa niwaambie hatua nilizochukua, lakini kwa bahati mbaya ni Rais mwenye mamlaka hayo, nimembeep lakini hajanipigia pindi akitua tu naona atanigongea simu na naamini ataridhia". Ina maana wewe unakurupuka na kutoa maamuzi tuuuuuuuu? si una vyombo vyote vya kukupa taarifa kabla ya maamuzi? Imekuwaje tena mtoto wa mkulima? kumbe hutufai kwasababu we ni muonezi unaependa kufukuza watu kazi ovyo eeeh?

Mi siamini, ila ndo hii sinema tuliyokuwa tunaifuatilia inavyotufundisha.
 
Na jambo moja kubwa ni kwamba hakuna aliye msafi ndani ya ccm
hilo hata shetani anajua kama yupo ajitokeze ? kikupacho raha na uchungu kitakupa
 
What did we expect? more than this? definately not! Play the political games with Tanzanians' minds to win it......! Bila ya Misri, Egypty, Tunisia etc ....kila siku tutakuja hapa kulialia kama mbwa aisiye na mwenyewe wakati walioshika dola wakiendelea kutubiruabirua kama vibua.....! Too sad1

Jairo alisema tangu siku ya kwanza kuwa wabunge wetu ni sawa na kina Joti (Ze Komedi) and he was right.

Sasa ni wakati wa kujihoji hawa comedians tuendelee kuwalipa hadi lini, maana kama wanapuuzwa hata kwenye ishu yenye ushahidi usioweza kutiliwa shaka, hawatufai na hatuwahitaji.
 
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.

===========
UPDATES:

Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil

More updates to follow

Haya ni matumizi mabaya ya hela za umma, na ni rushwa. Shirika haliwezi kuwa na bajeti ya kutoa michango kwa ajili ya watendaji. Kila Wizara huwa ina bajeti ya kujitosheleza kwa mwaka mzima, ikiwa ni pamoja na hayo marupurupu ya safari kwa watendaji. Iweje hapa watendaji wachangiwe na mashirika ya umma tena kwa viwango vikubwa namna hiyo?

Huko nyuma niliandika kuwa huyu mtu kaonewa siyo kwa sababu hakufanya makosa, bali kwa vile wote wanafanya hivyo. Niliamini wazi kuwa ataachiwa huru kama vile hakuna tatizo lolote.
 
Hivi pinda na luhanjo nani mkubwa kimadaraka kama alikuwa awesi si kuna makamu wa rais
makamu wa rais yupi ??anaitwa nani hivi anafanyia kazi gani ? Huyu bwana ni kuzunguka tu
na wake zake wawili kwa kodi ya watanganyika kumbe watu wanalilia vyeo waje watanue
 
Ndicho kitakachotokea kwa maigizo ya Maige na Mkurugenzi anayedaiwa kutorosha wanyama.. Nani angeweza kumujibisha DJ wakati kuna vigogo wengine nyuma yake?Tanzania nchi yangu,nakupenda kwa moyo wote...
 
Mhe Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Chiku Abwao, Mchungaji Msigwa, Kamanda Lema, BAVICHA, UDDASA, Tanganyika Law Society, Dr Hosea, Mama Shellukindo, Deo Filinkunjombe, Ole Sendeka, Mama Malecela, hivi mmesoma na kuyatafakari maneno haya?????????????????

Jairo alisema tangu siku ya kwanza kuwa
wabunge wetu ni sawa na kina Joti (Ze Komedi) and he was right.

Sasa ni wakati wa kujihoji hawa comedians tuendelee kuwalipa hadi lini, maana kama wanapuuzwa hata kwenye ishu yenye ushahidi usioweza kutiliwa shaka, hawatufai na hatuwahitaji.
 
Ndicho kitakachotokea kwa maigizo ya Maige na Mkurugenzi anayedaiwa kutorosha wanyama.. Nani angeweza kumujibisha DJ wakati kuna vigogo wengine nyuma yake?Tanzania nchi yangu,nakupenda kwa moyo wote...

Kiranga hebu njoo hapa
 
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
<br />
<br />
llani ya chama cha magamba ipo wazi hakuna ufisadi ndani ya chama na serikali. Hapo mlitegemea kuna jipya? Huyo mama Shelukindo akae mkao wa kuliwa sasa zamu yake.
 
Udini umetumika hapo hawa jamaa wote ni Wakirstu wanasali Kanisa moja. Luhanjo hawezi kumuangusha Mkristu mwenzake Njairo
 
Kweli mla rushwa ni dagaa na si samaki...HAKUNA MUTU NAWEZA SHINDANA NA NJOGOO
 
Pengine ni kweli kwa mujibu wa jinsi uonavyo wewe ila kwangu mimi naona kumetumika zaidi ile SERA YA UFISADI NA KULINDANA MWENZETU kama ambavyo ilivyoainishwa KIFIKRA ndani ya ilani ya Chama cha Magamba nchini.

Udini umetumika hapo hawa jamaa wote ni Wakirstu wanasali Kanisa moja. Luhanjo hawezi kumuangusha Mkristu mwenzake Njairo
 
Wakuu Jairo alikuwa msaidizi wa rais Kikwete kabla ya kupewa hiyo keki. Sasa nini mngetarajia hapo? Ni viongozi walio safi tu ndo wanaweza kuwawajibisha watu walio karibu nao pale wanapofanya madudu. Lakini viongozi wachafu kama Kikwete ujasiri huo haupo maana hao watu wa karibu yao wanajua maovu yao mengi.
 
Back
Top Bottom