Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

siamini kama wewe ni mtanzania, heri yako kama sio mtanzania na kama wewe ni mtanzania basi ni lazima utakuwa product ya akina magamba
Udini umetumika hapo hawa jamaa wote ni Wakirstu wanasali Kanisa moja. Luhanjo hawezi kumuangusha Mkristu mwenzake Njairo
 
Nimestushwa sana na taarifa hii. Hata kama kiwango siyo halisi lakini alichangisha kweli. Hilo si ni kosa??? Jaman Tanzania Kwisha, imeoza, tuiokoe. Tafadhali naona kama vile kuna attachment. Naweza kupata hiyo press release statement, nimekuta mada njiani.
 
Kweli nimeamin! Hii serikali kweli ya kishikaji, ful of spirit de corp!
 
Luhanjo anayo hayo mamlaka? ninavyojua yeye anaongozwa na sheria za uttumishi wa umma. Je ripoti ya CAG inajitegemea au imeunganishwa na ripoti ya TAKUKURU?

Kama ndio muda uliotolewa TAKUKURU wamejiridhisha kwamba kuchangisha hela ni halali? ni wafanyakazi wangapi walipwa fedha? viwango vya posho per diem vinajulikana kwa kadre zote mpaka waziri nasikia kuna watu wanapewa mil 4 za kukarimu wageni je hiyo ni halali?

Nachokoza mada ili mnaoijua hii issue vizuri mfunguke. Navyojua kwa hili la rushwa hosea lazima nae aseme neno liwe zuri AU BAYA BADO ANA WAJIBU HUO ILI TUJUE HAKUTUMIA MAMLAKA VIBAYA NA KUSABABISHIA HASARA SERIKALI, KUJINUFAISHA BINAFSI, RUSHWA etc Luhanjo ni mamlaka ya kiutendaji tu.
 
Shelukindo tunaomba sasa umwage ugali! Kale kabahasha ulichokabidhiwa kama ipo toboa. Ukishindwa kufanya hivyo CHADEMA tunaingia Igunga kama nyumbani.
 
hebu twende taratibu mwanakijiji,kwani improper use of public fund haifukushizi kazi public servant? Budget ya wizara ilitenga fedha hizo? Auditors walipewa evidence ya mchanganuo wa matumizi? Kuna vFM hapo?
 
Agrrrrrrrrr.....ngoja nikalale tuu maana naweza kufa kwa presha...mamamamaaaeeeeeee CAG
 
Ni kwamba
  • Huu mchezo wapesa za "mawasiliano" za bejeti unachezwa na wizara zote. Ni kawaida.............
  • kuthibitisha Jairo ana kosa ingebidi kwa mara ya tena serikali ivunjwe sababu ni mchezo wa kawaida tatizoni taarifa imekuwa in public
  • Kuna wabunge wa CCM, CDM, CUF, NCCR walishapokea pesa hizi za "mawasiliano" za wizara nyingine. Ndio maana hata hao tunadodhani ni wapiganaji wamekuwa kama wamenyeshewa mvua.
Labda kosa alilofanya Jairo ini kuomba idara zilizo chini yake zichangie lakini inaonekana wizara nyinginez ina fungu hili bila kuhitaji msaada.



Hahahhaha imebidi nicheke baada ya kusoma comment yako japo hii thread haina habari ya matumaini kwa watanzania
Lakii inashangza mambo ya nchi yetu yanavyokuwa handled kwani wa kumclear Jairo ni Luhanjo au ni TAKUKURU na Polisi
.


Kweli kabisa. Its a long standing tradition kila budget session. Iweje leo Jairo ndio aonekane katenda cha ajabu?

Hata hivyo, kufuatan ana hadidu za rejea (TOR) CAG alikuwa na kazi ndoggo sana ya kufanya. Kuthibitisha kuwa ni taasis 20 zilitakiwa kuchanga na kama ilifika 1 billion!!

Findings:
Amount collected - ONLY HALF A MILLION AND NOT A FULL 1 MILLION
Institutions that contributed : only 4 and not 20!

Jamani ni simple arithmetics.... JAWABU LA CAG limetosha kumuona Jairo hana hatia!
Case closed....
 
Agrrrrrrrrr.....ngoja nikalale tuu maana naweza kufa kwa presha...mamamamaaaeeeeeee CAG and luhanjo
 
Kama alisimamishwa kazi sababu ya kuchangisha pesa kutoka taasisi mbalimbali....., iweje arudishwe kazini sababu tu namba ya hizo taasisi na kiasi kilichochangishwa ni kidogo?

Je kosa ni udogo wa michango au ni kuchangisha pesa (rushwa)......?, kama walijua tangia mwanzo kuchangisha sio kosa na ni utaratibu wa kila siku kwanini walimsimisha kazi?, walikuwa wanachunguza nini sasa?
Very tough questions and a strong point voice of reason.Hapo ndo penyewe haswa.
 
Kwa kweli CAG leo kawadhalilisha sana AUDITORS na kujizalilisha mwenyewe...facts halizotumia katika kumsafisha JAIRO ni za kisiasa zaidi..hajatumia facts za kihasibu/kikaguzi nk..kufanya comparison ya kilichopo katika Hansad na ukweli then kufikia hitimisho kuwa jamaa hakuwa na hatia kisa kiasi kulichotuhumiwa kufuatana na kumbukumbu za Hansad ni bil moja na kiasi kilichokusanywa ni mil 500...hivyo tuhuma si zakweli duuuuh hata kama ni siasa hii imepitiliza..huu ni uchafu mtupu...na akili zake zote anasoma hizo facts kwa waandishi wa habari tena IKULU...kweli ikulu imekuwa PANGO LA MAJAMBAZI...
 
Mkurugez wanyamapori pia muachie hana hatia! Magamba oyee ccm oyee
 
Ngoja nikanywe nilale nisinzie nisahau machungu ya Jairo na nduguze
 
kwa kifupi lazima audit procedure zimepindishwa,lakini serikali haiaminiki kwa namna ilivyo conclude,ni kama walipania kuwaumbua waliotuhumu bila kupima raia wanatarajia nini! Vyombo vya usalama vipo?
 
Mwambieni JK aende kumsaidia rafiki yake gadafi si alimnunulia magari ya kuvinjari? Mwenzake sasa anafukuzwa kama panya bado zamu yake.
 
Sijaamin kama ni kweli lakini kwa kuwa nipo tz chini ya kikwete inanipasa kwani si Jairo tu ilishatokea UDOM pale mlacha alipotuhumiwa kwa ubadhifu wa fedha za wanachuo aliøekana ni safi kabisa lakin alirudisha pesa. Bila mapinduzi nchi imekaa pabaya. We ar suppos to conscientize our society
 
Back
Top Bottom