Hawa wote wanasign tu posho za vikao!Mhe Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Chiku Abwao, Mchungaji Msigwa, Kamanda Lema, BAVICHA, UDDASA, Tanganyika Law Society, Dr Hosea, Mama Shellukindo, Deo Filinkunjombe, Ole Sendeka, Mama Malecela, hivi mmesoma na kuyatafakari maneno haya?????????????????
Ningekuwa pinda ningeachia ngazi leo hii ili niishi kwa haeshima kuliko kuishi kwa kujikomba na kujidhalilisha KWELI JAIRO HANA HATIA anachangisha pesa za serikali kwa risiti ipi zikaidhinishwa na nani kutumika je mkaguzi wa serikali ataziacaunt kweli tanzania jina lako ni tamu sana wageni wanakupigania hata jairo naye amekulamba kweli wewe tanzania ni mama huruma kama maharage ya mbeyaSasa siku ile Pinda alipomuhukumu Bungeni aliposema kwamba kama angekuwa yeye ndie aliyemteua, angekuja tu bungeni siku ile kutoa taarifa kwamba alishamtimua. Leo hii sijui Pinda atatuelezaje! Au atamwangaliaje Mkweree na Jairo!
Kweli usicheze na Mkweree!
mkuu unataka kusubiri mpaka 2015??Jamani hawa watu wa karibu na JK akiwemo Luhanjo wana immunity kubwa ya kifisadi lakini itaisha 2015 na naomba hizi kashfa ziwekwe kwenye list ili zote zije kufufuliwa wakati mtu serious tutakayemchagua 2015 aweze kuwashughulikia. Kesi hizi na tuhuma hizi za wazi na zilizokuwa na ushahidi haziwezi kuachwa hivi hivi kwa sababu tu watu waliopewa dhamana ya kusimamia rasilimali na maadili ya nchi yetu wameamua kulindana kwa maslahi yao wenyewe na si ya taifa
<br />Gooooshhhh!...<i>My hairs!<br />
</i>Wameogopa atafichua mengi?<br />
Nchi ya laana hii!...!<br />
Igunga mpoooo????