Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Ndio vyombo vya usalama vipo lakini ni kwa ajili ya viongozi wa CCM tu na wala si kwa maslahi mapana ya sisi walipa kodi.
Mwenzetu utakua umesahau hili nalo kweli??

kwa kifupi lazima audit procedure zimepindishwa,lakini serikali haiaminiki kwa namna ilivyo conclude,ni kama walipania kuwaumbua waliotuhumu bila kupima raia wanatarajia nini!

Vyombo vya usalama vipo?
 
MAANDAMANO LINI WAUNGWANA? Tired of Gutter Politics
 
misuse of public fund ni kosa kubwa sana,CAG hajaonyesha kama kuna makosa kisheria hata nje ya ufisadi! Mfano takukuru moja ya majukumu yao ni kuzuia hivyo wanapozuia,wale waliodhamiria wana hatia!
 
inamana mwl kuondoka kaondoka na wa2 makini wanaotoa mawazo makini ktk muda muafaka!kilicha baki kutaftana uchawi,nani kasema nini!iwaje chombo makini kama bunge kujadili isu ya jairo kwa ku2mia habari ziczofanyiwa research?kwanini 2camini wote mnavicHwA vya panzi?
 
Kwel inasikitisha,mpaka BBC swahili wameirusha muda mfupi hiyo news,hii ndio tanzagiza.
 
CAG analindwa kisheria akitoa maamuzi,hapa ni wazi amepindisha ukweli,kuna makosa dhahiri kabisa ya misappropriation and misuse of public fund,audit report ni ya kufurahisha watu tu,Tuhoji zaidi audit procedure.
 
Wakuu, mimi najiheshimu sana; na mara zote huwa nina subra, lakini kwa hili nasema KU**##KE zao! ni kweli hawa jamaa ni WA**NGE, na wanaona ss wote ni wapumbavu! Kwa hiyo zile bahasha waligawa za nn, na wanataka kusema MAMA aliongopa?...wamshtaki basi tujue moja; nasubiri reaction kutoka kwa wabunge, la sivyo wote nitawaona MPOMPOMPO!!

DAMN!...LAANA TUPU KUANZIA JUU!
Mniwie radhi wkuu nitaowakwaza, inauma sana hii-haswa ukizingatia natumia wastani wa elf40 kwa siku kuwasha generator tu!
 
Well done Mr Luhanjo. MAGAMBAS believe they can feed us any crap. It's another pong smelling saga which is cheaply shrouded to legalize misused taxpayers funds. We are not fooled! Time to think of our Taharir square!
 
mapigo ya moyo yameongeza kasi na kishindo mpaka nasikia masikioni.. kuhema pia kumeongozeka.
Duh!! ni hatari kwa kweli, sijui nikatafute wapi fresh air!
 
K****** M***** ¥€¤@&% yaaani yaaani yaaaaani,aaagrrrrrrrrrrrrr.
 
Nimefedheheshwa kusikia kuwa uchunguzi dhidi ya tuhuma za katibu mkuu wa wizara ya Nishati na Madini bwana jairo hazikuwa za kweli.

Hii inatokana na ripoti aliyoitoa leo mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na kusomwa na katibu mkuu kiongozi bwana Luhanjo. Ninajaribu kufikiri jinsi tuhuma hizi zilivyojadiliwa na wabunge wa CCM kwenye vikao vyao, kisha kuwakilishwa kwa mbwembwe na Mh. Beatrice Shelukindo.

Masikini wabunge hawa wakamuingiza PM choo cha kike na mzee akatamani kumfukuza kazi dakika ile ile. Sasa baada ya matokeo haya nahoji weledi wa hawa wabunge na kiongozi wao wa serikali bwana Pinda. Hivi tunajifunza nini kupitia binadamu hawa tuliowakabidhi nchi hii waiongoze?

Kesho asubuhi bwana Jairo atatinga ofisini kwake kwa mbwembe na huenda atamalizia vile visenti vyake vya michango ya idara.
 
Eye 4 eye!

Sasa ujue nchi ni uozo mtupu hakuna kitu kinaitwa Gud governance na ninajisikia vibaya kwa waheshimiwa walioanzisha tifu hili kuanzia kwa Januari Makamba, Mama Shellukindo na huruma zaidi kwa PM kwani he thought is doing fine to call presida na kueleza kuwa m2 wako amechemsha yaani Jairo na kama angekuwa na power angemwajibisha!

Swali kwanini bunge zima na wampigie kula ya kuto kuwa na imani na rais nchi haiwezi kuwa na upotoshiji wa hali juu kama huu eti kwa kuwa pesa waliotoa na CAG amezibbitisha haijafika 1 bilioni so what this is crime for god sake no second chance for Jairo. Kweli nchi imepatikana Luhanjo ndio rais wa TZ siyo vinginevyo.
 
Haya mambo ya serikali yanaumiza moyo me nimetamani kulia nilivyosikia hizo habari za jairo. Dawa yao ni mwaka 2015 tuuuuu
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">am resting in peace now now.......please say its a joke.....</span></font></font>
Never rest in peace coz i need u, hao Majairo achana nao
 
wabunge wambane CAG hachomoki humo,tunataka kweli pachimbike mle ndani,najua Mnyika anafahamu mengi tu.
 
Jamani hawa watu wa karibu na JK akiwemo Luhanjo wana immunity kubwa ya kifisadi lakini itaisha 2015 na naomba hizi kashfa ziwekwe kwenye list ili zote zije kufufuliwa wakati mtu serious tutakayemchagua 2015 aweze kuwashughulikia.

Kesi hizi na tuhuma hizi za wazi na zilizokuwa na ushahidi haziwezi kuachwa hivi hivi kwa sababu tu watu waliopewa dhamana ya kusimamia rasilimali na maadili ya nchi yetu wameamua kulindana kwa maslahi yao wenyewe na si ya taifa
 
Back
Top Bottom