Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

did we expect anything really??

Honestly I knew the whole saga was drama!!

To me its no big news!! Rather waiting to hear a public apology from the P!!!!
 
JK alijua wazi kuwa kuondolewa kwa Jairo kulikuwa na uwezekano wa serikali yake kuanguka maana na yeye Jairo anajua katika hizo hela alizochangisha kuna mawaziri walizilamba. Kwa misingi hiyo na hao mawaziri walipaswa kuachia ngazi.

Sasa kazi kwa wabunge wa CCM, JK ameona bunge ndo linaishia ndipo wanamrudisha Jairo wakijua kuwa wabunge hataweza kulipiza kisasi kwa wizara zingine....teh..teh...teh. Wabunge wa CCM mna kazi mmoja ya kumuondoa Mwenyekeiti wenu maana anatetea rushwa.
 
Safi sana na naisubiri na mimi niwepo, naona leo vishoka wote wa CCM hapa jamvini nao wamecharuka sijaskia kauli ya JEYKEY bado na MS
Tanzania kuna siku itakuwa kama Misri, hivi tatizo la ****** ni nini hasa au ndio serikali yote imeoza na inanuka na inasababisha nchi nzima kunuka. Nadhani haina haja ya kuendelea kuishi Tz maana si nchi tena, vongozi wetu wamekuwa majambazi kupitiliza, natamani nijivishe mabomu nikajilipue magogoni.
 
Kwa mara ya kwanza napingana na serika yangu! Kama hili ni kweli, Katibu mkuu kiongozi na secretariet yake watakuwa hawakumtendea haki Pinda! <br />
<br />
Bythe way, let the system work.
<br />
<br />
WONDERS SHALL NEVER END!!! LEO NDO UMEIGUNDUA SIRIKALI YAKO?
 
Pinda aondoke serikalini maana alisema hili la Jairo haliwezekani kutetewa! Na uamuzi aliokuwa amependekeza umetupwa kapuni sasa anafanya nini yeye ni waziri mkuu au wa ziro mkuu atuamabie tena watanzania na wabunge wamuulize swali la papo kwa papo alhamisi. AIBU NYINGINE KWA SERIKALI YA CCM NA MK WE RE
 
Sasa siku ile Pinda alipomuhukumu Bungeni aliposema kwamba kama angekuwa yeye ndie aliyemteua, angekuja tu bungeni siku ile kutoa taarifa kwamba alishamtimua. Leo hii sijui Pinda atatuelezaje! Au atamwangaliaje Mkweree na Jairo!

Kweli usicheze na Mkweree![/QUOTE Pinda kosa lake kuwa kwenye sirikali asiyostahili kuwamo akitaka kuwa mkweli ahame huko vinginevyo kila siku watamsingizia umbeya
 
Mh. Pinda amedhihirisha kuwa ni simba aliyechorwa kwenye karatasi laini za kuchambia (Toilet paper). Nafikiri huu utakuwa muda muafaka kwa Mh. Pinda kujisafisha kwa kuachia ngazi. Amedhihirisha aidha ni mropokaji kama vile alivyoropoka juu ya Magufuri na bomoabomoa ya nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara...au alivyoropoka juu ya Jairo kwamba angekuwa na uwezo angefanya maamuzi magumu pale bungeni. Kama si mropokaji basi hasikubali ujinga huu wa mtu ambaye amedhihirika kukiuka ethics za kazi na yeye Pinda akajiridhisha kuwa amekiuka, kisha anarudishwa kazini.

MH. PINDA, mie ni mtu mchache sana katika taifa la Tanzania lakini huu ujumbe ni mzito. Ni wakati sasa unatakiwa kuondoka kwa kushindwa kufanya kazi zako.

Mkuu inategemea uko upande gani na inategemea maamuzi magumu kwako ni yapi? Inawezekana kumsimamisha mtu kazi ni maamuzi magumu!! Inawezekana Maige alifanya maamuzi magumu kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyamapori pale bungeni. Pinda huenda alikuwa na maana kwamba anagekuwa ndiye appointing authority ama disciplinary authority ya Jairo angemsimamisha kazi kama alivyofanya Luhanjo ama Maige kwa Mkurugenzi wa Wanyamamwitu!!

Lakini pia twende mbele turudi nyuma Jairo ametakaswa na Controller and Auditor General (CAG) Bwana Uttoh. Tunaamini kwamba CAG na ofisi yake ya NAO ni chombo huru na ndio mshauri wa serikali kuhusu mambo ya ukaguzi wa kifedha. Sasa kama CAG amemtakasa tunataka Pinda ama Serikali ifanye nini?

Kama tunaamini kuwa Jairo ana kosa na huku CAG anaona hana kosa basi suala hapa ni kuangalia kama vyombo vyetu hivi ambavyo vipo kikatiba kama vinafanya kazi zake kwa uhuru. KATIBA KATIBA
 
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti

More updates to follow
Pengine ulikuwa uongo hazikuchangiwa 1 billion, sawa; lakini wanatakata kutuambia ni watendaji wangaji walioenda bungeni na kutumia shs milioni 500? Milioni mia tano kwa watendaji kuenda kuhudhuria bungeni?
Hizo taasisi zilizochangia, wamezitoa wapi? Mifukoni mwao au pesa za walipa kodi?

Magamba, wacheni usanii, tafadhalini! Tumeshachoshwa!
 
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!



eeh! umeonaeeee!
hawaaminiki hawa!
ila hata weye mwita huaminiki kama vile umeanza kuwa kigeugeu.....
zamani ulkuaga unawafagilia sana magamba.
 
Sasa tumuamini nani? Pinda anaesema angemfukuza, au luhanjo (jk) aliesema jamaa hana makosa????mmh comedy haziiiishi bongo
 
Sasa source wako nani??? Na kwanini unaongea issue sensitive namna hiyo kwa ufupi kiasi hicho bila details? Yaani umeniharibia siku yangu leo mara mbili, kwanza kwa kuandika jambo zito kwa ufupi sana, pili kama ni ukweli basi siku yangu leo ndo imekuwa mbaya zaidi!

Source:TBC TAIFA,kesi ya mahindi umpelekee Ngedere unategemea nini,wote hao ni syndicate ya majambazi wa uchumi,hii siyo ya kwanza Luhanjo alikuwa na JK toka zamani na Jiaro halikadhalika toka madini na nishati wapo pamoja akamvuta ikulu kisha akamrejesha nishati na madini ili akakusanye vizuri,hakuna kesi hapo,inatubidi tutumie nguvu ya umma tu kuwang'oa hawa.
 
Hiyo report inasema za chakula ni za nini? Huyu Mkaguzi angeenda mbali zaidi na kuuhoji ama kujiridhisha kama waliokuwa wanaandaa budget walilipwa posho za kujikimu. Utata mtupu
mkuu akienda mbali zaid aibuuuuuuuu kuu zaidi ya hapo alipoishia!
elewa tu kwamba ni chakula hata kama pilau weye kula tuu!
 
Jamani muwe mnatuonea huruma basi msilete hata hizi habari hapa,siku inaharibika hivi hivi jamani,roho inauma sana natamani ningekuwa mchawi niue viongozi wote wanaonikela na tufanye uchaguzi mdogo ili vyama vingine viingie madarakani,inauma sana.poor tanzania.
 
Pinda aondoke serikalini maana alisema hili la Jairo haliwezekani kutetewa! Na uamuzi aliokuwa amependekeza umetupwa kapuni sasa anafanya nini yeye ni waziri mkuu au wa ziro mkuu atuamabie tena watanzania na wabunge wamuulize swali la papo kwa papo alhamisi. AIBU NYINGINE KWA SERIKALI YA CCM NA MK WE RE
Huwezi kuilaumu serikali kwa hili!
Pinda ni mtendaji kama watendaji wengine... kwa hili tunaweza sema alikurupuka, hakuwa amefanya uchunguzi!
Bahati nzuri everything has been sorted out!
 
Taasisi nne zimechanga nusu bilioni kwa ajili ya bajeti, loh, Aibu kubwa kwa Pinda
 
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.

===========
UPDATES:More updates to follow

Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil

LUHAJO UNAWAZA KUTUMIA MASABURI TYPE?
UKIJUMLISHA HAPO KWENYE BLUU TOTAL 518 ZAIDI YA NUSU BILION
PESA ZOTE HIZO ZA NINI KWA SIKU 2 TENA DODOMA? WATU HAWAZIDI 10 FOR WHAT?

MY TAKE:
WABUNGE WOTE WA CHADEMA TOKENI BUNGENI MRUDI MTAANI TUMUONDOE KWA NGUVU YA UMMA
LUHAJO NA JAIRO WAONDOKE NA HUYO ****** WAO IT CAN BE. INAMAANA RUSHWA NA UFISADI NI HURU TZ
PIA TAKUKURU IFUNJWE MARA MOJA
HATA KAMA SI

 
Back
Top Bottom