Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
haya ndo maamuzi magumu
Very good JK and MIhanjo
NOw Jairo is JAH HERO
Very good JK and MIhanjo
NOw Jairo is JAH HERO
<br />Nasubiri kibali toka kwa Mods nitoe dukuduku langu japo tuko kwenye mwezi mtukufu
yeah imekaa vizuri hii, Jah Hero wa Ufisadi wa CCMhaya ndo maamuzi magumu
Very good JK and MIhanjo
NOw Jairo is JAH HERO
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow

Soma kwa MIchuzi aka mzee wa CCM utaiona hii habari!!Sasa source wako nani??? Na kwanini unaongea issue sensitive namna hiyo kwa ufupi kiasi hicho bila details? Yaani umeniharibia siku yangu leo mara mbili, kwanza kwa kuandika jambo zito kwa ufupi sana, pili kama ni ukweli basi siku yangu leo ndo imekuwa mbaya zaidi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo,ametoa ripoti na kusema Jairo anarudishwa kazini kuanzia kesho.
===========
UPDATES:
Luhanjo anasema tuhuma zilikuwa za uwongo
Anasema taasisi za Wizara hazizidi 7 na si zaidi ya 20 kama ilivyodaiwa
Taasisi nne tu ndizo zilizochangia na zilichanga karibu TZS 500mil na si zaidi ya 1bil kama ilivyodaiwa
Pesa zilichangwa ili kuwawezesha watendaji watakaoenda kwenye bunge la bajeti
REA walichangia 50mil
TANESCO walichangia 40mil
EWURA waliombwa 40mil lkn hawakutoa, walichangia gharama za chakula na malazi kwa watendaji wa Wizara
Idara ya Uhasibu ya Wizara ilitoa 150mil
Idara ya mipango ya Wizara ilitoa 278mil
More updates to follow
and you are tired of being tired.am resting in peace now now.......please say its a joke.....
Hii serikali inatupeleka wapi sasa. Mtu ambaye ametuhumiwa kwa uwazi kabisa anarudishwaje tena kazini. It beats me!
Kwa mara ya kwanza napingana na serika yangu! Kama hili ni kweli, Katibu mkuu kiongozi na secretariet yake watakuwa hawakumtendea haki Pinda!
Bythe way, let the system work.