bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,892
- 943
Hata mukimwita USTADH sio mbayaKwa hiyo tumuite sheikh au Alhaj Luhaga Mpina ?
Hata mukimwita USTADH sio mbayaKwa hiyo tumuite sheikh au Alhaj Luhaga Mpina ?
Kwa kweli.Kweli angevumilia hii mitano ya mama pengine 2030 angefanikiwa. bado kijana sana labda kama baada ya uchaguzi atarudi tena ccm kama wassira au makongoro nyerere.
Nani amfikirie..Samia?....yule mama sio...
Hata hivyo hawezi kufa njaa...
Hiyo haiwezekani hata kwa dawa🤣 itapigwa kata funua ya hatariMara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Mimi ntavalia Doha Qatar mkuu.Mkuu KUWA makini SANA. Lile bomu la ARUSHA lililo lipuka kanisani, inasemekana Kuna mtoto alimuona
ALIE tupa bomu alikuwa na kanzu. Be care mkuu valia nyumbani au misikitini au misele ila SIO kanisani UTAPEWA kesi mkuu.
Kwishaaaaa
SAWA mkuu tuarikane mkuu huo NDO undugu mkuuMimi ntavalia Doha Qatar mkuu.
Kwa tume ipi ya uchafuzi?Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Kaka huu mchezo wa ccm kuhalalisha uchaguzi don't trust them... Mpina ni kinyago chao Wana kimonita tuuLabda akauze SURA tu,kushinda kwa mfumo wa sasa ni NDOTO..hata huyo DALALI Kigoma ataachiwa tu
ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani
ACT Wazalendo mkuu...pigia mstari na hapo badoSi CHAUMMA?. Mnahamahama Sana.
Karibu sanaa, lakini lazima uvae kanzu hivoo.SAWA mkuu tuarikane mkuu huo NDO undugu mkuu
Kwishaaaaa
Unaposema eti ACT ukimkosoa rais Samia hawakueliwi inaonysesha ulivyokuwa muongo!A very big mistake by Mpina, kama alitaka kuhama ingekua mwaka jana for now bora angebaki tu CCM maana Samia angedondoka kabla ya Mpina kupotea kisiasa.
Hao ACT sio tu ni CCM B so ni kama hajahama maana huko ukimkosoa Samia hawakuelewi,
Pia kwa tume hii anaenda kuporwa kabisa kiti cha ubunge na atakua irrelevant labda agombee Urais ili awasaidie kupata momentum huku bara ila kama ni Ubunge anapoteza muda tu.
Very unfortunate this party is just CCM B.Safi sana. Namsubiri Gambo, sendeka, january . Maana bibi kidude kaota pembe
mh, maselle wa shinyanga kapotea mwache apambane tuKweli angevumilia hii mitano ya mama pengine 2030 angefanikiwa. bado kijana sana labda kama baada ya uchaguzi atarudi tena ccm kama wassira au makongoro nyerere.
Bora act kuliko bibi kidudeACT Wazalendo mkuu...pigia mstari na hapo bado