GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kavaa kabisa na mavazi ya dini ya chama. Nakumbuka wakati upinzani u naanza wakati hawa waliopo kwenye hiki chama cha zambarau hawajajibadilisha kutoka kule ......ndembendembwe......... kifo cha mende.......niliwahi kuhudhuria mkutano wao mmoja yule kiongozi wao aliyejiita ngangari akitamka pointi walikuwa wanajibu vile vile kiarabu kama mtu akitamka pointi kwenye maubiri ya kidini.
Kama ilivyo kwa CHADEMA AMBAO chama cha Roman Catholic.
Nakumbuka 2010 Kanisa lilimsimamisha Padri Slaa kupitia CDM na walimpigia kampeni nchi nzima huku JK akisaidiwa na mwanae na Mkewe tu kwa sababu ht wanaCCM wagalatia walimtenga. Na Mwaka huu Kanisa limemwandaa Mkatoliki mwingine Tundu Lissu. Kanisa likampeleka Padri Slaa na Padri Kitima kuongoza mashambulizi kuhakikisha Mbowe anatoka Madarakani
 
Yaani FISIEMU na Machawa wote wataelekezwa Kisesa kwa ajili ya huyu jamaa,

pesa yote ya rushwa itaelekezwa pale

Na mbaya zaidi kwa hiii tume yetu Mshindi ni yule atakae tangazwa na tume. na si aliyeshinda kwenye box la kura
 
Back
Top Bottom