GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kashindwa kuvumilia dk chache tu ili apate nafasi za kuteuliwa.
Kweli akili ni nywele.
Kama mfumo umekuweka pembeni hata ukipewa ubunge na wananchi bado jimbo lako litawekwa pembeni tu
 
Ivi wanasiasa wabongo hamuwajui nahisi hapo mipango yakuifanya act kuwa chama kikuu chaupinzani yaani ameacha kugombea ubunge ambao angekuwa naasilimia za kushinda aende urahisi atafanya yake mwisho anarudi kwao
 
Back
Top Bottom